Jipatie tishet yako ya UKAWA

Jipatie tishet yako ya UKAWA

Status
Not open for further replies.

Valentina

R I P
Joined
Oct 12, 2013
Posts
24,688
Reaction score
28,834
Nauza T-shirt za size mbalimbali; ainabalimbali kwa bei ya round T-shirt in 10;000 na polo T-shirt ni 17000. Popote ulipo mzigo unakufikia

Cc: ladyfurahia
 

Attachments

  • 1438192081991.jpg
    1438192081991.jpg
    16.7 KB · Views: 1,345
  • 1438192102373.jpg
    1438192102373.jpg
    6 KB · Views: 1,914
  • 1438192125883.jpg
    1438192125883.jpg
    13.6 KB · Views: 1,483
  • 1438192145750.jpg
    1438192145750.jpg
    14.5 KB · Views: 1,396
  • 1438192166590.jpg
    1438192166590.jpg
    29.5 KB · Views: 1,455
Last edited by a moderator:
Ingawa ujumbe wako ni mzuri lakini inaonyesha hayo maandishi imeyaweka na adobe kama hilo la lowassa ndio kabisaaaaa
 
Anaehitaji tuonane pm pls,uniambie uko wapi unataka ngapi ya bei gani na rangi gani kati yahizo?
 
Nauliza kama utakuwa haujaenda kinyume na sheria za uchaguzi ie kuanza kampeni mapema au mambo ya gharama za uchaguzi,kwani haya mafuriko na huu upepo wa kuku unaweza kuwaengua UKAWA kwa kwenda kinyume na taratibu.
 
Ukawa wanafaidikaje na biashara yako, au ndio opportunity
 
mpe makaidi heshima yake mtoe maalim seif kwenye hiyo list
 
Hizo zenye maandishi utakuwa unatafuta ugomvi!ni wazo zuri lkn ujumbe uepuke kuleta dhana itakayotafsirika kama mipasho kiukweli kwanza utakuwa target nzuri ya kula kichapo aidha iwe dola au upande wapili itakapotokea rabsha!Lkn picha za viongozi tu na neno UKAWA hiyo iko poa.Chonde Picha ya Mh Rais isiwe hiyo iliyopauka!utaharibu uhondo na hautauza kwani wateja wanajua quality mm mnyw ningependa kuinunua lkn picha iwe kiwango na iwe ni picha anayoonekana akiwa ktk hali ya ubora wa mvuto wake..
 
Ingawa ujumbe wako ni mzuri lakini inaonyesha hayo maandishi imeyaweka na adobe kama hilo la lowassa ndio kabisaaaaa

nmecheka sana, maandishi kaweka na nini?? adobe,, haahahaaaaa adobe reader kwenye t shirt haaaaaahaaaaaaaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom