Jipatie template ya matokeo shule ya msingi bure

mjumbe wa bwana

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
5,282
Reaction score
6,162
Kwa walimu wa shule za msingi nazani zitawarahisishia kazi zenu kipindi hichi Cha kuandaa maatokeo.
INACHOWEZA KUFANYA
1 Kutambua daraja za kila somo (A-E)
2 kutafuta wastani kwa kila mwanafunzi
3 Kutambua jinsi za wanafunzi
4 Kutambua waliosajiliwa
5 Kutambua wasiofanya mtiani
6 Kutambua waliofanya mtiani
7 Kutambua asilimia ya ufaulu kwa ujumla
8 N.k

UDHAIFU YA TEMPLATE
1. kwanza haipangi wakwanza mpk wa mwisho automatic mpk uje sort
2. Kunaweza kuwa na some error kwa sababu sikupata shule ya kufanyia majaribio
NOTE
kwa wale wataalumu zaidi mnaweza ziboresha na kuja kuziweka ili ziweze wasaidia walimu kwa ufanisi zaidi

HAPPY BIRTHDAY TO ME 19/05/19.. View attachment MFUMO WA MATOKEO -2023 AWALI.xlsxView attachment MFUMO WA MATOKEO -2023 LA (1) KWANZA.xlsxView attachment MFUMO WA MATOKEO -2023 LA (2) PILI.xlsxView attachment MFUMO WA MATOKEO -2023 LA (3) TATU.xlsxView attachment MFUMO WA MATOKEO -2023 LA (4) NNE.xlsxView attachment MFUMO WA MATOKEO -2023 LA (5) TANO.xlsxView attachment MFUMO WA MATOKEO -2023 LA (6) SITA.xlsxView attachment MFUMO WA MATOKEO -2023 LA (7) SABA.xlsx
 
Kwa walimu wa shule za msingi nazani zitawarahisishia kazi zenu kipindi hichi Cha kuandaa maatokeo.
INACHOWEZA KUFANYA
1 Kutambua daraja za kila somo (A-E)
2 kutafuta wastani kwa kila mwanafunzi
3 Kutambua jinsi za wanafunzi
4 Kutambua waliosajiliwa
5 Kutambua wasiofanya mtiani
6 Kutambua waliofanya mtiani
7 Kutambua asilimia ya ufaulu kwa ujumla
8 N.k

UDHAIFU YA TEMPLATE
1. kwanza haipangi wakwanza mpk wa mwisho automatic mpk uje sort
2. Kunaweza kuwa na some error kwa sababu sikupata shule ya kufanyia majaribio
NOTE
kwa wale wataalumu zaidi mnaweza ziboresha na kuja kuziweka ili ziweze wasaidia walimu kwa ufanisi zaidi

HAPPY BIRTHDAY TO ME 19/05/19.. View attachment 2627225View attachment 2627226View attachment 2627227View attachment 2627228View attachment 2627230View attachment 2627235View attachment 2627237View attachment 2627238
Happy Birthday mjumbe wa bwana .
 
Mkuu Sina la kusema Asante sana mkuu una moyo wa upekee
 
BOS KAMA UNA TEMPLETE NA ZA SECONDARY TUPIA HUMU MKUU UMEKUWA MSAADA SANA
Mkuu labda nijaribu tengeneza pia naomba na mapungufu ya hizo hapo maana nataka leta update zake ila mungu akinijalia uzima nitajaribu tengeneza mpk inayotoa report tuzidi ombean tu
 
Changamoto katika kununua mkuu Leo nimetumia TEMPLETE Yako mapungufu niliyoiona ni sehemu ya nafac hukuweka iwe inapanga Rank kuanzia 1 Hadi wa mwisho Kwa tumia formulary ya rank nadhani ukiweka hiyo cell utakuwa umetisha sana
 
Hilo nimelipokea soon nashusha update pia Kama Kuna changamoto nyingine usisite niambia ili niiweke kwenye hio update nitakayo ipandisha humu
 
Pia kama utaweza uweke na sehemu ya ripot ya Kila mwanafunzi mwanafunzi hii iwe sheet inayojiyegemea Ili kuwe na uwezekano wa kuprint report Kwa ajili kumpa mzazi usisanau ni kipengele muhimu sana
 
Sawa mkuu ngoja nipambanie mungu akijalia nitaipandisha hapa
 
Mkuuu tunasubiri update ya templete
Mkuu usijali ila nimejaribu kuvunga kidogo ili muingize matokeo na kunipa madhaifu au Kama Kuna fomula nitakuwa nimekosea ili niweze rekebisha jaribu tag na wengine ili nikitoa update iwe imetatua na changamoto nyingine
 
Sawa mkuu kwenye grade pia rekebisha Kwa sasa msingi hawana ALAMA 100 wanaotumia ALAMA 50 ,rekebisha Kwa kutumia formula ya condition =if (
 
Usijali mkuu sikujua Hilo kwahio kwa madarasa yote mark 50 au Kuna jaribio linakuwa 50 na mtiani unakuwa na 50
 
Mwanafunzi hajafanya mtihani inatoa comment ya daraja E. Badala ya ku comment hayupo. Kitaaluma hiyo tayari inavuruga tathimini ya ufaulu wa somo husika.

Inbox me kwa utatuzi wa hiyo ishu. Nina sample za template pia nime hofu kuziweka humu kuepuka kuvuruga project yako uliyo anzisha.
 
Mkuu weka lengo langu Ni kusaidia watu tu
 
Back
Top Bottom