Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Mbona zimebuma tena
Habari,

Wakati tunasubiri ds** kuna option nne (4) za kuendelea kutumia qsat yako.

1. Kuelekeza dish Canal 22w - iko hewani kwa sasa.

2. Canal 16A @16e - Hapa utahitaji CCcam account, Nitakupa 24hr FREE TRIAL ACCOUNT baada ya kuingiza channel; Baada ya hapo waweza kuamua kununua account kwa tsh 85'000 kwa miezi mitatu (3) ; Channel list angalia hapa: www.v.ht/c16e

3. Kwa kutumia IPTV: Kwenye remote bonyeza SOURCE utaona hiyo option ya IPTV

4. Load SoftCam key file [ hii ni kwa Qsat q26 & 28 ] - ili uweze kufungua channel zilizofungwa kwa mtindo wa Power Vu. Option hii inakutaka uwe na Dish la FT6 na C-Band lnb zaidi ya moja. Na sat husika ni hizi hapa:
--------------------------------
Intelsat 20 at 68.5?E - LyngSat (NHK,SonyTV,Discovery,Skynews) 68.5E
Intelsat 17 at 66.0?E - LyngSat (SonyTV,Encompass) 66E
Intelsat 906 at 64.2?E - LyngSat (AFN) 64.2E
NSS 12 at 57.0?E - LyngSat (MTN,BWTV) 57E
Nilesat 102/201 & Eutelsat 7 West A at 7.0?W - LyngSat (BWTV) 7W
Telstar 12 at 15.0?W - LyngSat (Fight Network) 15W
NSS 7 at 20.0?W - LyngSat (MTN) 20W
------------------------------------------
 
Swali: Toka kwa mdau mmoja
Naomba unipe elimu juu ya IPTV na power vu je naweza tumia kwa dekoda uliyoniuzia.

Jibu: ndio Q28G niliyokuuzia inaweza kutumika Kufungua channel kwa njia ya internet (IPTV ) na kwa kutumia key (PowerVu key)

KUHUSU IPTV KATIKA QSAT
- Inahitaji internet ya kasi, 3G
- Ni kwa asilimia 100 ufungukaji wa channel unategemea Internet, Kadri kasi ya internet ilivyo kubwa ndio jinsi channel zinafunguka kwa haraka na bila kukata.
- Utahitajika kutumia Modem au WIFI au Ethrnet cable iwapo una router
- Kwenye Remote yako bonyeza SOURCE na option ya IPTV utaiona, Pia waweza kubonyeza MENU > MULTIMEDIA > NETWORK hapo kuna option zingine za zinazohitaji internet ya 3G

KUHUSU POWERVU CHANNEL KATIKA Q28, Fanya yafuatayo.
1. Update receiver yako kwa kutumia hili file: Download Link: http://v.ht/mq28g
- Download hilo file
- Copy file na weka kwenye flash baada ya kuifanyia formatting
- Chomeka flash kwenye receiver
- Bonyeza MENU > UPGRADE > USB/CARD UPGRADE > USDISK01> hapo chagua .BIN file > OK

2. Download hii softcam key file Download link: http://v.ht/q2628
- Copy file na weka kwenye flash, kisha load kwenye receiver kwa kufuata hizi hatua. MENU > UPGRADE > USB/CARD UPGRADE > USDISK01> hapo chagua hiyo softcam key file

3. fanya istallation ya dish la FT6 kwa C-Band kwa kutumia TP kwenye moja ya hizi sat. hapa chini
--------------------------------
Intelsat 20 at 68.5?E - LyngSat (NHK,SonyTV,Discovery,Skynews) 68.5E
Intelsat 17 at 66.0?E - LyngSat (SonyTV,Encompass) 66E
Intelsat 906 at 64.2?E - LyngSat (AFN) 64.2E
NSS 12 at 57.0?E - LyngSat (MTN,BWTV) 57E
Nilesat 102/201 & Eutelsat 7 West A at 7.0?W - LyngSat (BWTV) 7W
Telstar 12 at 15.0?W - LyngSat (Fight Network) 15W
NSS 7 at 20.0?W - LyngSat (MTN) 20W
-------------------------------
Mpaka hapo utaweza kutumia receiver yako Kwa IPTV na kufungua channel zilizo fungwa kwa mtindo wa PowerVu ndugu Burton86jm

KARIBU
 
Last edited by a moderator:
Q28G
- PowerVu Software update [latest]
- SW v7.11
- Download link: http://v.ht/bq28g

Call 0717 54 57 62 for:
- Canal 16A @16e CCCAM account FREE 24hrs TRIAL cline
- Spycam Code
 
eti spycam server imerudi au bado kwa ajili ya qsat 26g
 
hawa wachina nao wana shida sana mara server inafanya kazi mara haifanyi kazi huu umekua usanii kuna tamaa yoyote ya kurudi hewani spycam kwa kufungua 36
 
  • Ni kweli "scramble time all the time" hii kwa account ya AVATARCAM
AVATARCAM ACCOUNT
  • Ni default account, na huwa ni ya mwaka mmoja
  • Haiko stable kutokana na servers kuwa down muda mwingi
  • Avatar Inatumia server ya kichina - tofauti na cccam ni server za USA
HIVYO ILI KUFURAHIA CHANNEL ZOTE
  1. Pata accouny ya CCCAM
  2. Utalipia kila baada ya miezi mitatu(3)
  3. Kumbuka hii cccam inatumika katika receiver zingine mfano STRONG STR 4922A, inatumika pia bara ulaya na malekaniu, just google CCCAM utaona habari yake
Kumbuka q23g imetengenezwa itumie IPTV, CCCAM, MGCAM, NEWCAM, pamoja na hiyo AVATARCAM ambayo ipo down
  • Call/sms/whatsaoo 0784 496 856 upate account yako ya CCCAM sasa
  • ​KARIBU
Hata mie ninayo hii decoder ya Q26G, ila matangazo yanakatika mara kwa mara na scramble channel error kibao, vipi waweza nisaidiaje mkuu.
 
Updated POWERVU/SOFTCAM for Q26G AND Q28G

Fuata Hatua Hizi ili ku_Load softcam file

1. Delete powervu key ulizonazo kwa sasa

2. Download softCam.key file na weka kwenye flash (baada ya kuwa umeifanyia formatting hiyo flash)

3. Chomeka flash katika receiver yako

4. Kwenye remote Bonyeza MENU > UPGRADE > USB/ CARD upgrade > Fungua folder na chagua softcam.key file

Download link: pvjan

Au Scan QR code kwa simu yako ili kuweza kudownload
pvjan.png


KUINGIZA MANUAL POWERVU KEY kwa channel kama sport24 HD

>> Bonyeza MENU, SETTINGS, press ok XCAM, press ok, Chagu “PATCH” hapo “CAS TYPE” weka “PowerVu” kisha bonyeza Button NYEKUNDU ili kuweka key mpya.

MTN Worldwide TV

-NSS 47.5°W-4163 R 9247-PowerVU(C-Band)
-NSS 57.0°E- 4147 R 9245 -PowerVU(C-Band)
-NSS 20°W- 4131 R 15404-PowerVU(C-Band)

P 0061BE9D 00 175DA161086473 ; EMM Key
Key0: 98 65 B2 62 77 F7 AB 08.01.2016
Key1: FF FA 91 E9 7B 25 70 08.01.2016

NB: Zikitoka na Ukipata key mpya waweza kushare na wenginr hapa jukwaani.

KARIBU
 
[New] Download PowerVu Software for Qsat Decoder

Software Version: v8.01.14
Release Date: 14.01.2016

Q28G
Download link: jq28g

Q26G
Download link: jq26g

Q23G
Download link: jq23g

Q13G
Download link: jq13g

Q11G
Download link: jq11g

SPEED HDs1
Download link: jsdhd
 
A-ONE ( All in One) Decoder - AutoRoll PowerVU
- Release date: January 2016
- Download Link: aonepv

Kwa hitaji la Qsat spycam code, canal 16e cccam & any Technical help Nipigie +255 717 54 57 62.
 
Hata mie ninayo hii decoder ya Q26G, ila matangazo yanakatika mara kwa mara na scramble channel error kibao, vipi waweza nisaidiaje mkuu.
Je kwa sasa unatumia account code ipi?
Je mqwelekeo wa dish ni kwa sat. ipi?
Je umeweka latest software?
 
HUU UZI ULINIPOTEA NILIUTAFUTA SANA NILITAABIKA KUUPATA VIPI SPYACAM IMERUDI AU BADO 36.0E
 
HUU UZI ULINIPOTEA NILIUTAFUTA SANA NILITAABIKA KUUPATA VIPI SPYACAM IMERUDI AU BADO 36.0E
Kwa degree 68.5 iko poa but 36°E ni baadhi ya channels km ss6,ss7ni,AFRO,NatGeo,MAct+ nk canal pia iko poa all in all km una q28 furahia powervu ni mwanzo mwisho
 
Vipi matumizi ya internet inaweza kuwa inatumia pesa nyingi kwa upande wa net
 
Vipi matumizi ya internet inaweza kuwa inatumia pesa nyingi kwa upande wa net
Ni chini ya MB 100 kwa mwezi, Hii ni kwa upande wa spycam & cccam account.

Hivyo kifurushi cha tsh 2'500 kwa mwezi kinakidhi mahitaji.
 
HUU UZI ULINIPOTEA NILIUTAFUTA SANA NILITAABIKA KUUPATA VIPI SPYACAM IMERUDI AU BADO 36.0E
Kitambo imerejea inafanya vizuli kwa:-
  • Canal 22w
  • Intelsat20 @68.5
  • Na kidogo kwa eutelsat 36e
Mawasiliano: +255 717 54 57 62
Kwa hitaji la Ku_renew spycam account code au kununua ZAP cccam au Canal 16e cccam

NB: Kuupata huu uzi kwa haraka andika kwenye address bar/ copy na paste: bit.ly/MWLRCT
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom