marandu2010
JF-Expert Member
- Aug 7, 2010
- 1,201
- 446
Nipo DSM 0712705389,unaletewa popote dsm,mkoani unatumiwa kwa basi.karibuni
Hahahaa... Mi nilikuwa naxitafuta hizo eflu 35 nizimeze chap....Rudi kule,tushameza kama ulivyoagiza
Nipo vingunguti dada yangu..karibu sanaunapatikana wapi
Hapana dada,hazina viti..karibu sanaMeza nzuri... Haina viti?
kwa mbili utanifanyia bei gani?Nipo DSM 0658327429,unaletewa popote dsm,mkoani unatumiwa kwa basi.karibuni
View attachment 466338View attachment 466340View attachment 466341View attachment 466342
70k mkuukwa mbili utanifanyia bei gani?
wee usimeze jaman...Hahahaa... Mi nilikuwa naxitafuta hizo eflu 35 nizimeze chap....
ShukraniKazi nzuri big up
Hizi ni meza mkuu,zimetengenezwa kwa mninga,zina kipenyo cha inches 18 au ft 1 na nusu.Hiz ni meza, au stuli,zinaukubwa gani,na material yake nini ,+nataka nikanzie msisha Dodoma!
Bei zako vipi mkuu?Nipo vingunguti dada yangu..karibu sana
35000 kwa kila moja mkuuBei zako vipi mkuu?
Sawa,nimechukua namba ntakutafuta mkuu.35000 kwa kila moja mkuu
Karibu sana mkuu.Sawa,nimechukua namba ntakutafuta mkuu.
ShukranKaribu sana mkuu.