Jipatie majeneza ya kisasa

Nasikia alishatangulia mbele za haki maskini ningekuwepo ningetoa jeneza la bure jamani dah.!
Aiseeeeee......[emoji47] [emoji47] [emoji47]
Mkuu, ebu acha maskhara
Hii habari uliisikia wapi?
Na alifariki lini?
 
Nimeyapenda, ntakucheki hivi karibuni uniandalie la futi 6[emoji56]
 
Hakuna offer kama buy 2 get 1 free? hakuna SALE? Ukitoa product mpya unatakiwa ufanye promotion kwenye BAR na Guest House. Very brilliant business idea.
 



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haki tena nimejikuta nacheka utafikiri ni mazuri!!

Ahahahahah kwaio mkuu wewe umefocus kwenye maombi yake tu!!!

Ila hata mi nimejiuliza hivyo hivyo, kama mkulima anaombe mvua inyeshe, bodaboda anaombe jua liwake...je huyu mwenzetu dua yake inakaaje aje?.
Mm sjakaataa kifo mkuu hakuna atakaebaki katika hii dunia Kila mafai itaonja umauti ila issue yakuuza majeneza siio kwahiyo biashara ikiwa ngumu unafikiria Atafanya maombi gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahahah ety "punguzo maalum la msimu wa sikukuu..." Shwaiiin



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…