Jipatie Laptop kwa tsh 250,000/=

Mkuu hapo kwenye hayo masaa ni kweli au ndio lugha ya biashara??
Mkuu si lugha ya kibiashara, bali waweza ukaja hapa ofisini ukakuta imechajiwa, unatumia mpaka huo mda niliokwambia, ukiona hayajafika hayo masaa, basi usitoe pesa yako. Kwa niliowauzia kama wapo humu, namuomba mmoja atoe ushahidi
 
Ebu tupe specifications za mini laptops zenye kiwango cha juu kabisa, ulizo nazo na bei zake
Nina min lenovi
Hard disk 320gb
Ram 2gb
Processor 1.60ghz
Bei 350,000
IMG-20171112-WA0046.jpeg
IMG-20171112-WA0045.jpeg
IMG-20171112-WA0048.jpeg
 
Min Hp, Min dell, Min Sumsung, Min Lenovo
Hard disk 150gb
Ram 2 gb
Processor 1.60 Ghz
Zina web camera
Zinakaa na chaji masaa 8
Bei tsh 250,000/=
Anayehitaji anichek 0623554361

IMG-20171126-WA0014.jpeg
IMG-20171124-WA0070.jpeg
IMG-20171115-WA0042.jpeg
IMG-20171124-WA0063.jpeg
IMG-20171112-WA0048.jpeg
IMG-20171112-WA0036.jpeg
IMG-20171112-WA0037.jpeg
IMG-20171112-WA0036.jpeg
IMG-20171112-WA0047.jpeg
 
Back
Top Bottom