Jipatie Laptop kwa tsh 250,000/=

Siingilii biashara yako, ila unachokifanya hapa ni kufukuza wateja. Picha sawa umeweka, Bei umeweka, lakini ili kukata mzizi wa fitina juu ya hizo laptop kama ni mpya ama laa, ungetaja model number husika ya hizo laptop wateja wajiridhishe hiyo kauli yako ya NEW MODEL.

Vinginevyo utajiharibia uzi wewe mwenyewe.
 
Wajanja wameshasthuka.
Wape ladha halisi na wafanye watazamaji wako wajihisi kama wapo live pale OLD TRAFOD, FLY EMIRATES, ETIHAD STADIUM kwa kuwaonyesha picha kuuuubwa zenye mng'ao wa HD kwa kutumia PROJECTOR ZETU nzuri na zenye kuonyesha vizuri.
Kwa tsh 550,000/= jipatie yako.
Mawasiliano/whatsapp
0623554361
IMG_20171104_133917.jpeg
 
Siingilii biashara yako, ila unachokifanya hapa ni kufukuza wateja. Picha sawa umeweka, Bei umeweka, lakini ili kukata mzizi wa fitina juu ya hizo laptop kama ni mpya ama laa, ungetaja model number husika ya hizo laptop wateja wajiridhishe hiyo kauli yako ya NEW MODEL.

Vinginevyo utajiharibia uzi wewe mwenyewe.
Ok mkuu, asante kwa kunirekebisha, nadhan hilo neno model ndio limeweka kizingiti hapo, but nia yangu ilikuwa ni kuandika BRAND NEW. Nitafuta chapisho hili nitaandika jingine.
Samahan kwa usumbufu.
 
IMG-20171126-WA0013.jpeg
IMG-20171126-WA0014.jpeg
IMG-20171126-WA0016.jpeg
IMG-20171126-WA0019.jpeg
Min Hp pamoja na dell
Hard disk 250gb
Ram 2 gb
Processor 1.60 Ghz
Zina web camera
Zinakaa na chaji masaa 8
Bei tsh 250,000/=
Anayehitaji anichek 0623554361
 
Back
Top Bottom