Mkuu hauna zenye specification kama hizi lakini ni touch screen?Karibu mkuu, nichek 0623554361
Hapana Mkuu. Nakumbuka kuna tangazo hapa linaloonyesha bei ya hizi kuwa ni 200,000 nilizipenda ila tatizo likawa kwenye hard drive. Labda kama mmebadilisha