Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,259
- 1,389
- Thread starter
- #4,201
Hivi mnapotaja litre kwenye friji huwa mnazungumzia nini? Lita zinapimwaje?
Ujazo fridge & Freezer huwa kwandani hupimwa kwa Litres ujazo unaoweza kubeba
Hivi mnapotaja litre kwenye friji huwa mnazungumzia nini? Lita zinapimwaje?
Mkuu una majiko yasiyobagua sufuria? yana bei gani?Umeme digital plate 1
Price 8000
Mkuu una majiko yasiyobagua sufuria? yana bei gani?
Ndio, ya umemeUnamaanisha ya Umeme kawaida?
Plate 2 bei yake ni 135,000
Plate moja bei yake ni 70,000
Ndio, ya umeme
Hayabagui sufuria kabisa? Maana kuna jamaa huku lake zone aliuziwa 150k halafu akakuta linabagua sufuria, anapata tabu sana!Bei zake ni hizo Mkuu
Hayabagui sufuria kabisa? Maana kuna jamaa huku lake zone aliuziwa 150k halafu akakuta linabagua sufuria, anapata tabu sana!
Hilo ulilo quote linatumia sufuria maalum ila hayo nakwambia yanatumia sufuria yeyote
Hili 120k linaenda?
Nipo mkoani, nitatuma mtuOkay njoo ulipie Dukani
Nipo mkoani, nitatuma mtu
Magufuli anafahamu Kwamba wanawake weusi hawana elimu pia?
Sawa.Okay namba zetu ni 0672852415
Mkuh hayo yakutumia sufuria maalum(INDUCTION COOCKER) single plate kwasasa yana kwa shngap.?Hilo ulilo quote linatumia sufuria maalum ila hayo nakwambia yanatumia sufuria yeyote
Mkuh hayo yakutumia sufuria maalum(INDUCTION COOCKER) single plate kwasasa yana kwa shngap.?
85,000
Poa mkuu nitakutafuta85,000
Naona unaikimbia laana!!Magufuli anafahamu Kwamba wanawake weusi hawana elimu pia?
Mkuu nilikuuliza hili swali, mbona hujibu?Sawa.
Na camera za dslr unazo? Nikon D3300 na D3100 bei zake zipoje?
Naomba kujua bei za Subwoofer ulizonazo.Original Bluetooth Wireless Speaker ONYX STUDIO 6
View attachment 1577443
Brand Harman/Kardon Onyx Studio 6
Bluetooth
8 Hours of Playtime
Water Proof IPX7
Wireless Dual Sound
Price 750,000