Jipatie bagi zilizotengenezwa kwa vitenge na kanga.

thewajibu

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
226
293
Habari wana jf sasa unaweza jipatia begi za backpack, lucksuck na handbag za wanawake zilizotengenezwa kwa material ya kiafrika. Tunapatikana Mwanza karibu na Commecial Bank of Africa.
bb0187f2bd325e3ecabacc9c08e00db1.jpg
f5158ddab5e2b68f179de1404bb9853b.jpg

Keep calm and Hire yourself.
 
Tatizo hizo zipu mnazoweka hapo hata sketi ya mtoto wa la pili inaafadhali

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo hizo zipu mnazoweka hapo hata sketi ya mtoto wa la pili inaafadhali

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
mkuu zipu iliyowekwa hapo haina tofauti na ya mtumba Amini

Keep calm and Hire yourself.
 
Back
Top Bottom