Jipatie Bag Imara ambazo Unachajia Simu

Jipatie Bag Imara ambazo Unachajia Simu

Sawa, ingawa Nina wasiwasi hizi bag huyu jamaa amezichukua mtandaoni maana nilishaziona exactly the same.

Angepiga picha kwa camera yake ingejenga imani zaidi.

Ila km anazo basi nitachukua mbili moja yako
we vepe! si anataka kuona kama wateja mpo then azidownlod kutoka Amazon?
 
Hizi bags niliziona mtandaoni wakiwa wanazi -promote.

Sawa uko wapi na sisi wa mikoani tutazipataje?
 
Sasa unachaji vip??? Kwamba begi linabentri kama chanzo cha umeme wa kuchajia au!!??

Kuna sehemu ndani ya kuweka power bank ambayo imetoa cable kwa nje ndo unatumia kuchajia simu
 
Anti-theft packpack , uniquefashion and uniquefeatures
.
- More Secure (hidden zip)
- WaterProof mateial (front side)
- USB charging port (phone charging)
- Night security .
.
Comes with 3 colors .
.
Bei ni 75000tzs tuu
.
Jumla - whatsapp 0712888884
.
Contact us 0712888884/ 0624888884
.
Location: daressalaam - QualityCentreMall.
.
Mikoani Tunatuma

52c86db4f276bf7a201d2fd85f2e50cd.jpg

8bc97e755436179c91a1d2562a69c3fd.jpg

6597404dc5b3be5a665faffd1a4f8890.jpg

b2076bdf35cc489d0d008df571cb95ba.jpg

5106b69580806a827ca2e54d8a14da97.jpg

d25f48dd2d7baa7ba8297b8404ba3adb.jpg

918b8c85318f956fc938397e74a71a2a.jpg
Naomba uorodheshe vitu vyote vinavyoambatana na hilo bag,ili unaponitumia niweze kuhakiki kuwa vipo vyote
 
Naomba uorodheshe vitu vyote vinavyoambatana na hilo bag,ili unaponitumia niweze kuhakiki kuwa vipo vyote

Bei haiji na vitu mkuu. Inakuja begi tu ambalo ndani yake kuna cable kwa ajili ya kuchajia simu.
 
Nilifikiri mtafaidi kuku zenu na Faru John....kumbe utafaidiwa wewe!! Lahaulaaa...
😀😀😀😀😀😀 vyote tunafaidi wacha unoko.......... huwa hatupati wasaa wa kukaa muda mrefu pamoja
so weekend hii ndo tutadaidi na atanifaidi...........
 
hizo picha za kudowload, hebu weka picha za mzigo ulio nao!!

Halafu ni made in wapi?
 
Back
Top Bottom