Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,587
- 28,750
Hebu zungumzia ubora wake.Siamini hili bag leo nimekuja kulipata kwa bei ya promosheni
39,000 tu
[emoji41][emoji41][emoji41]#Pale unapojiquote mwenyewe
Ukoje??
Hebu zungumzia ubora wake.Siamini hili bag leo nimekuja kulipata kwa bei ya promosheni
39,000 tu
[emoji41][emoji41][emoji41]#Pale unapojiquote mwenyewe
Kwa kuwa bado ni kapya kapya haka kabegi..ubora wake mzuri kiukweli tena ukizingatia mi sio mtu wa kubeba vitu vingi basi kananifaaHebu zungumzia ubora wake.
Ukoje??
Sio zile type za kukatika mikanda??Kwa kuwa bado ni kapya kapya haka kabegi..ubora wake mzuri kiukweli tena ukizingatia mi sio mtu wa kubeba vitu vingi basi kananifaa
Nimeona mikanda yake imeshonwa vigumu sana, sio rahisi kihivyoSio zile type za kukatika mikanda??