Watanzania tujifunze marketing strategies, waelezee watu French press ni nini!?,yawezekana wanaojua maana yake sio wanunuzi kwasababu wana alternative ya wapi pa kuzipata, na wasiojua ni nini ukiwaelezea wakawa wateja wako wazuri sababu wewe ndo umewatoa tongotongo. Kwavyovyote tuko pamoja.Kwa wale wadau wa kahawa,french press madhubuti sasa zimekuja tena. Ukinunua unapewa na kahawa 200 g
Wakati nasoma heading ya thread yake sikujja anaongelea nini na mpaka baada ya kuona pic iliyoambatanishwa na thread yake ndio nikajua ni nini anaongelea. Umemweleza ukweli kabisa, marketing strategies za kuwaelewesha na kuwapata wateja wapya ni muhimu kuliko kukeep cycle ile ile yenye uwelewa na mtu anachozungumzia.Watanzania tujifunze marketing strategies, waelezee watu French press ni nini!?,yawezekana wanaojua maana yake sio wanunuzi kwasababu wana alternative ya wapi pa kuzipata, na wasiojua ni nini ukiwaelezea wakawa wateja wako wazuri sababu wewe ndo umewatoa tongotongo. Kwavyovyote tuko pamoja.
Hicho ni kitu ganiView attachment 3562018Kwa wale wadau wa kahawa,french press madhubuti sasa zimekuja tena. Ukinunua unapewa na kahawa 200 gram quality buree ya kuanzia maisha.