Jiongezee kipato kwa kupata 10-15% ya malipo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jiongezee kipato kwa kupata 10-15% ya malipo.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by NEXTLEVEL, Oct 31, 2012.

 1. NEXTLEVEL

  NEXTLEVEL JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 856
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 80
  KAMI DIGITAL TECHNOLOGY Tunafanya kazi za Video Shooting&Production,Photo,Live video on projectors kwenye sherehe mbalimbali.

  Bongo Movie production

  Gospel songs video Album(Kwaya na waimbaji binafsi)

  Documentaries.

  TUNATOA 10-15% KWA KILA KAZI(DEAL UTAKALO FANIKISHA KUCLOSE.

  Piga kwa mawasiliano zaidi 0717017820. VIFAA VYETU NI VYA KISASA NA UBORA NI WAHALI YA JUU.

  Pia tunatoa BEI ya OFFER YA CHRIS-MASS kwa Kwaya na waimbaji binafsi ya mpaka nusu ya bei zetu za kawaida.
   

  Attached Files:

 2. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Kwiwiwiwiwiwiwiwwiwkwiwkwiwkwiwii..............10% hata kwenye mikataba ya nchi hii ipo!!
   
 3. NEXTLEVEL

  NEXTLEVEL JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 856
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 80
  Huwezi kula peke yako ndiyo ukweli wenyewe,mambo ya mikataba ya nchi yanaingiaje hapa? Ushabiki wa kisiasa huwafanya watu wazidi kuwa masikini wakati wachache wananufaika sasa opportunity ndogo za kijasiliamali wewe unacheka haya ndugu yawezekana wewe labda unapata chochote kwenye hiyo mikataba sisi tunasikia tu so nikama hadithi zisizofaidisha watz.Lakini hii nikitu halisi,kama wewe unazo nyingi acha wenye uhitaji wajipatie nawao kidgo kilicho halali.
   
 4. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Mkuu sijasema ni vibaya unavyofanya ni business nzuri............na nikipata dili lazima nikutumie. Niko hapa Bukoba watu wanaangaika na shooting ambayo iko advanced ila inakuwa tabu. Nakuomba ufungue branch hapa BKb na Mwanza utwadaka sana. Tena huku kuna vivutio kibao vya kufanyia shooting. Kilichonifurahisha ni kuwa hiyo 10% akiisikia kiongozi aliyeko serikalini anachanganyikiwa hasa akiambiwa na wazungu. Wametufikisha paya sana. Kuhusu 10% ni advanced method of marketing and attraction of customers.
   
 5. NEXTLEVEL

  NEXTLEVEL JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 856
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 80
  Shukrani mkuu,Kampuni inaendelea kujijenga taratibu iko siku Mungu akipenda tutafika Mwanza na Bukoba pamoja na maeneo mengine ya nchi ingawa hata sasa tunasafiri kushoot kazi za mikoani na kurudi kuzifanyia kazi huku Dar.
   
 6. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  nooo fanua hivi.........tengeneza Brochure kisha nitumie nitaprint alafu niphotocopy..........nisambaze makanisani...utaona wanakupigia.
   
 7. NEXTLEVEL

  NEXTLEVEL JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 856
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 80
  Nitakutumia flayer ili uprint mimi nakuahakikishia tunafanya tunachoahidi so ikitokea kazi wewe mwenyewe utakubali.

  au naweza kuzituma kwa njia ya basi ili usiingie gharama.
   
Loading...