barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,870
Hakufa walikuja Nyati wenzie kumsaidia Simba wakatimua, niliona video hii iliwekwa kwenye gazeti la Daily Mail la Uingereza. Hapo ni Mbuga ya nchini Afrika Kusini.Lakn lazma atakauwa alikufa huyo nyati
Hakufa walikuja Nyati wenzie kumsaidia Simba wakatimua, niliona video hii iliwekwa kwenye gazeti la Daily Mail la Uingereza. Hapo ni Mbuga ya nchini Afrika Kusini.
Siyo kiboko ni nyati buana....Huyo kiboko
Hapana huyo sio kiboko ni nyati, angalia vizuri. au unatumia simu ya mwezi wa sita?Huyo kiboko
Nyati kitu kingine wale, wana ushirikiano wa hali ya juu sana! Tofauti na nyumbu wanaweza kumuona mwenzao anashambuliwa na Simba au Duma wanangalia tu bila ya kutoa msaada wowote au wanakimbia kabisa na kumwacha mwenzao matatani!!
E bhana cheki simba wanavyotoa macho hawaamini kinachotokea....kiufupi Hawaelewi
HahahaHapana huyo sio kiboko ni nyati, angalia vizuri. au unatumia simu ya mwezi wa sita?
Huja nielewaSiyo kiboko ni nyati buana....
Nimekuelewa....Huja nielewa