Jionee mwnywe Zungu anaongoza Bunge Letu, Kwa nini?

Wewe ndio mmoja wa wale walokuja na mbio za mwenge au na fresh ya shamba! huyo mtoto wa Kariakoo mission kota Mitaa ya Ndanda , ukienda unamkuta anakunywa kahawa na wananchi wake! Hakika hakuna anaeweza kumuondoa Zungu Ilala! ni Mbunge wa Kudumu Ilala!
 
Ni mzalamo wa Mchikichini kariakoo.
Amezaliwa 25 may 1952.
Acha ubaguzi mkuu limetumbuka maana ata wewe ni mjaluo wa kakamega lakini tumechuna tu.
 
Last edited by a moderator:
Hilo ni toto la Kariakoo, humwambii kitu huyo;

Halafu Zungu lina personality na linaendesha bunge kijeshi-jeshi, "sasa nawaambeni nyamazeni na kama hamkunyamaza nawatoa wote nje mkaongelee escrow kwenye canteen na magari yenu". Wote kimya.

Nna uhakika siku moja itamtoka "msilete u---ge humu". Ngojeni mtaja nambia, hilo ni nunda tena nunda kweli kweli.

Ushabiki maandazi tabu sana!
 
inasikitisha sana mtu kuwa mbaguzi....bunge hata aendeshe mhindi mzungu mchina as long ni mtz ni sawa, naona mleta mada hamfahamu mh zungu vizuri
bado mleta mada anatakiwa kubadilika sana na kujifunza mengi

Kwa mara ya kwanza umechangia kitu chenye maana, nimekupa like ukipenda usipende.

Sasa anza kujifundisha kuandika vizuri, ujuwe herufi kubwa zinawekwa wapi ndogo wapi na maneno ya kukatiza unayopenda kutumia ni hukohuko kwenye sms zako si humu.

Utajizidishia hadhi ukifanya hivyo.
 
Aiseee....we TV umeanza kuangalia tangu lini mpaka usimjue Zungu?
 
Ila mjaluo kuongoza wazungu powa?

Obama_and_Biden_await_updates_on_bin_Laden.jpg

kila nikiangalia hii picha huwa najiuliza kwanini kuna watu huwa bado hawaamini kama ni kweli osama aliuwawa, sana sana wa dini fulani, kwahiyo hapo hao majamaa wote walikua wanaangalia katuni halafu wanatoa hamaki zote hizo
 
Kwa sababu Mussa Zungu si mzungu.

Sasa ndio nimejua ya kwamba huyo Jamaa (Mbunge wa Ilala Zungu) SIYO Mzungu, lkn mwanzoni hasa kwenye hiyo Picha nilipigwa na butwaa na kuzani ya kwamba ni photoshop kwani sikuweza kutofautisha na Mzungu (kwenye hiyo picha), mbona hao wengine kwenye picha sikuwaita Wazungu?
Nilikuwa namsikia tu lkn sijawahi kumuona wala kujisumbua kutaka kujua yukoje kwa maana nilijua yuko kama mimi tu Mweusi 100%, na hivyo sasa naweza kuelewa labda ni kwa nini anaitwa hivyo, Zungu!
 
Hilo ni toto la Kariakoo, humwambii kitu huyo;

Halafu Zungu lina personality na linaendesha bunge kijeshi-jeshi, "sasa nawaambeni nyamazeni na kama hamkunyamaza nawatoa wote nje mkaongelee escrow kwenye canteen na magari yenu". Wote kimya.

Nna uhakika siku moja itamtoka "msilete u---ge humu". Ngojeni mtaja nambia, hilo ni nunda tena nunda kweli kweli.

Nilijua tu! ukiona huo wajihi lazima unyeguke!
 
Huyu mzungu ametokea wapi na kuja kuongoza Bunge letu tukufu, mbona sijawahi kumuona wala kumsikia ama ni Photoshop?

View attachment 205807
mtoto mdogo kama wewe utamjuaje huyo?

Join Date : 14th November 2014
Rep Power : 321
Posts : 98
<dt style="margin: 0px 5px 0px 0px; padding: 0px; float: left;">Likes Received</dt><dd style="margin: 0px; padding: 0px;">36</dd><dt style="font-family: Verdana, Geneva, sans-serif; font-size: 12px; line-height: 14.7600002288818px; margin: 0px 5px 0px 0px; padding: 0px; float: left; background-color: rgb(242, 246, 248);">Likes Given</dt><dd style="font-family: Verdana, Geneva, sans-serif; font-size: 12px; line-height: 14.7600002288818px; margin: 0px; padding: 0px; background-color: rgb(242, 246, 248);">0</dd>

<dl class="userstats" style="margin-right: 10px; margin-left: 0px; float: right; width: 250px; color: rgb(62, 62, 62); font-family: Verdana, Geneva, sans-serif; font-size: 12px; line-height: 14.7600002288818px; text-align: right; background-color: rgb(242, 246, 248);">

</dl><dl class="user_rep" style="margin-right: 10px; margin-left: 0px; float: right; width: 250px; color: rgb(62, 62, 62); font-family: Verdana, Geneva, sans-serif; font-size: 12px; line-height: 14.7600002288818px; text-align: right; background-color: rgb(242, 246, 248);">

</dl><dl class="vbseo_like" style="margin-right: 10px; margin-left: 0px; float: right; width: 250px; color: rgb(62, 62, 62); font-family: Verdana, Geneva, sans-serif; font-size: 12px; line-height: 14.7600002288818px; text-align: right; background-color: rgb(242, 246, 248);">

</dl>
 
Hilo ni toto la Kariakoo, humwambii kitu huyo;

Halafu Zungu lina personality na linaendesha bunge kijeshi-jeshi, "sasa nawaambeni nyamazeni na kama hamkunyamaza nawatoa wote nje mkaongelee escrow kwenye canteen na magari yenu". Wote kimya.

Nna uhakika siku moja itamtoka "msilete u---ge humu". Ngojeni mtaja nambia, hilo ni nunda tena nunda kweli kweli.

ha ha ha u have made my moment to be good,
 
Back
Top Bottom