BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,022
Jionee mwenyewe..
Dah!!!,hii ni kali kuliko zote,hope ngoma ina spidi ya kufa mtu,maana 'mdudu' anatoka nduki sana
Mbona kwenye zile ng'ombe hujatamka hilo au kwa kuwa ni AFRIKA?Mhh hii kiboko, Huya anajua haki za wanyama kweli...!!