aah kumbe!!! bhasi ameokota embe kwenye m'buyuJana usiku alikuwa busy sana kwenye pm ya moniccca!![]()
Ni wewe huyo, usibishe kabisaa!!Pekeyake kisha pori kwa pori
Atakuwa amemwiba hosibitali akijifanya ni mtu wa karibu kumbe ni kwa ile kazi maalum."ninamuogopa huyu jamaa".Ni wewe huyo, usibishe kabisaa!!
Hapana, pitia profile yake mshana jr ni mfanyakazi wa mochwariAtakuwa amemwiba hosibitali akijifanya ni mtu wa karibu kumbe ni kwa ile kazi maalum."ninamuogopa huyu jamaa".
Weeee weeee weeeee!! Acha kabisa hujiulizi kwa nini muda wote akitupia picha humu jamvini huwa kavaa miwani? Sababu anajua tutamsoma macho yake na kujua yeye ni mtu wa aina gani, maana macho ya mtu ndo huleta uhalisia wa hulka ya mtuAaah!Wapi,amedanganya hawezi hiyo kazi.
Fumbo makiniKuna mambo yakikutokea inabidi ujiongeze. Ndugu alikuwa anamrudisha mdogo wake kwao baada ya kuwa mahututi basi safari imeendelea ndani ya basi siti za watu wawili yule mgonjwa akafariki yule ndugu kupiga hesabu akaona hapa nikijifanya kulia kuwa dogo kafariki nitashushwa kituo kinachofuatia sababu hii ni gari ya kubeba abiria sio maiti basi akamfunika uzuri safari ikaendelea mpaka sehemu aliyo kuwa anakwenda gari liliposimama ndio kaanza yowe pale ila ndio kaisha fika.
