Jionee mbinu za wanawake za kukuingiza kingi

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,260
Wanaume, kuweni makini na bikra feki wanawake wana mbinu nyingi sana za kukuingiza kingi, ndoa imekuwa mtihani kwao, wanafanya kila balaa ili wakuchote akili uingie kingi. Ukiacha hawa wengine ambao wameamua kuwa washirikina kwa kwenda kwa waganga na kupewa dawa za kukukamata, kuna hawa wanawake ambao wametumika kama Bajaj, wakikuona umekaa dizaini ya muoaji halafu una hela, utapigwa tukio mpaka ushangae.

Atajifanya descent na hajui kitu, atasingizia yeye bikira au amefanya mara moja tu. Siku ya kufanya mapenzi kila ukimshika anapiga kelele za kuzuga anaumia, ukishika nywele analia ukimgusa kifua anapiga yowe kama anakeketwa, ukianza kuzama ndo kabisa, unaweza kudhani uko kwenye msiba wa Kinyakyusa utasikia taratibu, utafinywa, utapushiwa kama vile ndo unaitoa, kumbe wala.

Mtu mzima unachotwa akili kumbe mwenzio kabla hajaja amekamulia ndimu, mchanganyiko wa parachichi na tikiti maji, kitunguu swaumu, sabuni ya kaisiki na vim ya kuondolea harufu chooni. Ukigusa unahisi bikira kumbe wala, umetegwa. Hawaruhusu uingize kidole kwenye maandalizi hata kwa dawa utagundua. Dawa yao unakaa na beseni, akizuga unamwagia maji pale juu, litatoka vumbi hujawahi kuona hata kwenye stoo yenu ya kuku wa mayai.

JIHADHARI na hizi bikira za makuti.
 
Duh wanafeki vipi ubikra...? Wanatupiamo na vitomato au vp?

Maana bikra bila damu ya mende, ni sawa chai isiyo na majani.
Mzee ipo kitu inaitwa shabu, usiombe ukutane nayo. Utaona kitu kipyaa hakijaguswa, kumbe mdananda! Mwagia vimaji usikie balaa lake.
 
Hahaha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
aiseee hiyo K hata usugue na steel wire utachoka tu..mana hadi jik wanatia ndani.
 
Duh wanafeki vipi ubikra...? Wanatupiamo na vitomato au vp?

Maana bikra bila damu ya mende, ni sawa chai isiyo na majani.
mkuu mbona simpo sana, wengine huwa wanasubiri wakat wanamalizia period ndo anakupa mgegedo, hapo lazima utoke na vi blood flan amazing,
 
Ni kweli unachosema! ninatambua kuwa kichwa kimesukwa na neva nyingi sana za hisia...

Itakuwa ni tatizo tu kwa yule atakaye shindwa kuitambua iliyo sealed kwa kutimia kifaa chake(dushe) .
 
Wanaume, kuweni makini na bikra feki wanawake wana mbinu nyingi sana za kukuingiza kingi, ndoa imekuwa mtihani kwao, wanafanya kila balaa ili wakuchote akili uingie kingi. Ukiacha hawa wengine ambao wameamua kuwa washirikina kwa kwenda kwa waganga na kupewa dawa za kukukamata, kuna hawa wanawake ambao wametumika kama Bajaj, wakikuona umekaa dizaini ya muoaji halafu una hela, utapigwa tukio mpaka ushangae.

Atajifanya descent na hajui kitu, atasingizia yeye bikira au amefanya mara moja tu. Siku ya kufanya mapenzi kila ukimshika anapiga kelele za kuzuga anaumia, ukishika nywele analia ukimgusa kifua anapiga yowe kama anakeketwa, ukianza kuzama ndo kabisa, unaweza kudhani uko kwenye msiba wa Kinyakyusa utasikia taratibu, utafinywa, utapushiwa kama vile ndo unaitoa, kumbe wala.

Mtu mzima unachotwa akili kumbe mwenzio kabla hajaja amekamulia ndimu, mchanganyiko wa parachichi na tikiti maji, kitunguu swaumu, sabuni ya kaisiki na vim ya kuondolea harufu chooni. Ukigusa unahisi bikira kumbe wala, umetegwa. Hawaruhusu uingize kidole kwenye maandalizi hata kwa dawa utagundua. Dawa yao unakaa na beseni, akizuga unamwagia maji pale juu, litatoka vumbi hujawahi kuona hata kwenye stoo yenu ya kuku wa mayai.

JIHADHARI na hizi bikira za makuti.
Ila yote haya mnayataka wenyewe... Wanaume mlishajiwekea aina ya wanawake mnaowataka... Ndo mana mnadanganywa sana. Msichana akiwa muwazi na mkweli mnamfanya ajione malaya. Mtu yeyote hasiyenithamini kwa mimi kama mimi na kuanza kunihukumu kwa niliyoyafanya basi achape mwendo... Ila wengine hawana moyo huu ndo mana wanatumia kila njia kuwadanganya.
 
Back
Top Bottom