ndo manake nchi za dunhpa ya kwanza mfano USA/EUROPE/JAPA/SOUTH KOREA/CANADA wanasumbuliwa sana na CANCER /SARATANI za ajabu! ajili wao kila kitu ni GMF genetically modified foods,wanacheza na vinasaba*DNA*va Mmea ama Mnyama wanaunganisha katika maabara wanapandikiza mpaka wanapata wanachotaka! .wanatumia wanasayansi! kiuufupi wanapingana na NATURE asilia ya UUMBAJI! na vyakula vingi kwao ni ARTIFICIALY made! dah wao kupata hata nyama ya ngombe enye ladha natural kwao ngumu! matunda kwao hayana ladha asilia! mpaka mchele kwao umebadilishwa eti uwe bora zaidi! mara chungwa lina ladha ya ndizi! mara maharage yana ladha ya kitunguu saumu!
mwisho wa siku makansa tu!
na wameweza leta kwa baadhi ya nchi za Africa! mfano kuku wa kisasa na kuku wa kienyeji! ngombe wa kisasa na kienyeji! chegere za kisasa na kienyeji!(chegere asilia zina unga na ukiweka kwa fridge hazioti sasa weka chegere kwa fridge za mjini lazma sku mbili utakuta zinaanza ota) mchele wa pishori na wambea! maindi ya kawaida na ya njano!matikiti ya kijani dark na kijani mpauko! embe dodo na embe nyekundu! pasion ndogo brown na kubwa!
ukichunguza utakubaliana nami! kamwe usipendelee kula vyakula va makopo mara nyingi ni GMF
penda kula vyakula va kienyeji kujikinga n CANCER(SARATANI) aina mbali mbali!
kataa GMF serikali na hasa TBC wazue!