Unamsema Bujibuji huyu huyu wa kwetu?
Mimii ni ME
hahahahahah weka picha
Hizi post za kusema watu Zimekuwa nyingi dah wapi BUBUji
duh, huu ni full ujeuri!kazi kwelikweli!! ni mwanaume aliweka mpaka picha zake akasasambua!
duh, huu ni full ujeuri!
Jamaa anasasambua; au nimesikia vibaya!!!uko wapi huo ujeuri?
Yah anajiamini na mwili wake si kila mtu anajiamini kihivyo kuvua tshirt wana JF wote wamuone....Wengine ukucha pia hawataki kuonekana!Jamaa anasasambua; au nimesikia vibaya!!!
Basi mi nilivyoona kusasambua ndo nikajua kama kwenye kitchen party!Yah anajiamini na mwili wake si kila mtu anajiamini kihivyo kuvua tshirt wana JF wote wamuone....Wengine ukucha pia hawataki kuonekana!
kusasambua ni kuvua nguo!Na si lazima siwe zote!!Basi mi nilivyoona kusasambua ndo nikajua kama kwenye kitchen party!
najua basi mimi49; si wengine tukisikia mwanaume anasasambua, basi hudhania anakuwa kama huyu jamaa mwenye pink t-shirt hapa chini:kusasambua ni kuvua nguo!Na si lazima siwe zote!!
najua basi mimi49; si wengine tukisikia mwanaume anasasambua, basi hudhania anakuwa kama huyu jamaa mwenye pink t-shirt hapa chini:
View attachment 148775
mimi nina dushelele nne, na zote zinapiga kazi kama kawaida, je mimi ni nani??
hahahaaaa!!! afandeeeeee...!!bazazi