Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,784
- 3,210
mdau kwan jinsia ipi imekuwa authorised na mambo ya IG,blog na izo GP???nadhani ni hulka ya mtu kama wew ulivyo na hulka ya kusoma post zake tokea hukoUyu ni Me au Ke?
Mana umbea wote wa INSTA,blog,GP lazima awe wa kwanza kuposti
au ndo kazi yake
inayomuweka Mjini?
Samaanini lakini
#teamUmbea
kazi kwelikweli!! ni mwanaume aliweka mpaka picha zake akasasambua!
Ni mwanaume na aliweka picha zake humu one day; mtu poa sana I guess hata haishi AfricaUyu ni Me au Ke?
Mana umbea wote wa INSTA,blog,GP lazima awe wa kwanza kuposti
au ndo kazi yake
inayomuweka Mjini?
Samaanini lakini
#teamUmbea
anaweza akawa me mwenye tabia za ke...ndio maana ulaya walihalalisha ushoga.. Wanaume tumebaki wachache sana
na mimi nauliza jinsia ya warumi, ni me au ke?
msaada please cc Dinazarde qn of sheba Madame B Heaven on Earth
na mimi nauliza jinsia ya warumi, ni me au ke?
msaada please cc Dinazarde qn of sheba Madame B Heaven on Earth
Uyu ni Me au Ke?
Mana umbea wote wa INSTA,blog,GP lazima awe wa kwanza kuposti
au ndo kazi yake
inayomuweka Mjini?
Samaanini lakini
#teamUmbea
Ni mwanaume na aliweka picha zake humu one day; mtu poa sana I guess hata haishi Africa
sijui box anabeba saa ngapi. muda wote jf tu