Jinsia ya kike mbadilike

Jinsia ya kike mbadilike

risasi imepigwa hewani waoga lazima wajikunyate
 
Chunguza kwanini wanawake wazuri wazuri ndo wanajiuza mijini na wengine wahudumu bar....kumbe ni laana zetu wanaume......
 
Je wanaume tunaruhusiwa ku comment hapa? Maana naona wavulana wameshaanza...
 
We lia tu kwa sauti usijirundikie masum mwilin ...... Believe your self ...!
 
[emoji382] [emoji381]

Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na
mrembo,usidhani utatetemesha kila
Mwanaume,kuna wanaume na akili zao
kichwani,urembo wako hauwasumbui,kama
bichwa lako ni kanyaboya,uzuri wako hausaidii
kitu,na utashangaa no one is paying
attention,watu utakaowapata ni walewale
kanyaboya wenzako,na hawana future utabaki
unaliwa bure kila siku unatoa macho. Ukipata
mwanaume anakupenda unaanza drama zako na
kupiga watu danadana,madai yako hujali na
unadhani hata akiondoka utapata mwingine kisa
wewe ni mzuri,la hasha! Mwanaume akijitoa
mhanga kukupenda kwa uzuri wako
mheshimu,maana viumbe wa kike wakiwa wazuri
ni shida na matatizo hakuna mtu anataka,sasa
ukimwongezea na drama pamoja na yeye
kujigeuza mpalestina kwako utajikuta umeolewa
na kioo cha chumbani kwako,maana hicho ndo
kinakudanganya sana kwamba we ni
mrembo,Watch out,drama zina mwisho,leo
unacheza na mioyo ya watu unajiona we
kifaa,usidhani wanaume hawaumii,tunaumia sema
hatusemi tu,machozi yetu kama ya samaki,tunalia
ndani kwa ndani

"Hatuwapendi wanawake kwa sababu ni
wazuri, ila tunawaona wazuri kwa sababu
tunawapenda".

Umenena ukweli mtupu. Huwa najiuliza sana kuwa hawa mabinti wanapambiwa tu ni warembo na anajiona **** anayo basi anahisi kila mwanaume anaweza kumwendesha atakavyo yy. kumbe sivyo ni ulimbukeni tu ndo umewajaa. Hawa wanaojiona wazuri hakika wataishia kuchezewa tu.

Ila pole maana inaonekana umeumizwa kwel kweli!
 
Back
Top Bottom