Jinsia mbili kwa Mwanamke

Miee mbna nafahamu hilo kuwa wapo wenye jinsia 2 na zote zipo active, ni maamuzi ya muhusika tyuuh kuamua atumie ipi kwa wakati husika, sasa yee huyo anaona ajabu lol.
@cocastic .... ivi mwanamke menye mashine ipo activ atazaniwaje akizama gest na mwanamke mwenzie??

una matiti bado una mkuyenge
 
Kama umezoea kuona mwenye jinsia mbili obviously huwezi kuona ajabu ama mmiliki wa hizo jinsia mbili anaweza kuona kawaida pia

Ajabu inakuja kwa ambaye hajazoea kuona mtu wa namna hiyo

Halafu kufahamu kuwa kuna watu wa namna hiyo na kushuhudia kabisa pussy na dick kumilikiwa na mtu mmoja ni vitu viwili tofauti
umesema kweli wazoefu kwao kawaida tuu yni
 
Binafsi japo najua ni jambo ambalo lipo lakini ni ajabu kwangu na linaogopesha kidogo
ila kiuķweli madr. wanatakiwa wajiongeze pale mtoto anapozaliwa na dick mbili kama ni kutoa moja ibaki moja... maana itajakuwa tatizo ukubwani mtu unaeza kosa mtoto
 
We nae muongo sana...ni wewe ndo umemtokea huyo demu mwenye jinsia mbili

Kwann mnapenda kurusha storee upande wapili
 
ila kiuķweli madr. wanatakiwa wajiongeze pale mtoto anapozaliwa na dick mbili kama ni kutoa moja ibaki moja... maana itajakuwa tatizo ukubwani mtu unaeza kosa mtoto

Kuna mmoja aliletwa hapo Muhimbili alikuwa nazo mbili....dick na pussy,wameziba moja ya kike
 
Back
Top Bottom