Jinsia mbili kwa Mwanamke

Mungu hawezi kuumba mashoga ila anaweza kuumba binadamu mwenye uume na uke kwa pamoja. Wenye dini zenu mnaliongeleaje hili
 
basi utakuwa na roho ngumu kinoma
Hicho ni kilema sawa na vilema vingine tu uzuri ana k na matiti means feminine feature ndo zimetawala huyo ni mwanamke kama wanawake wengine,atapigwa pini zuri mpaka aogelee kwenye maji yake mwenyewe, na ata tritiwa kama wanawake wengine tu ,hakuna cha roho ngumu hapo boss .
 
Miaka kama miwili nyuma nilikuepo huko mererani, sikua huko kwa ajili ya kuchimba madini la hasha bali nilikuwa kwa mishe mishe zangu zingine,

Nilikuwa niko na binamu yangu wa kiume yaani mtoto wa mjomba wangu kabisa kabisa, kuna zile kutoka kula kula misele kitaani siku moja tukakutana na ma binti wawili, ila mumoja wao ni mkali asikuambie mtu na mm nikawa nimempenda uyo demu mkali kuliko mwenzie, kumbe binamu yangu naye kamuelewa kinoma lakini demu hakuwa ananitaka mm kabisa bali alikuwa anamtaka binamu yangu, kila tukifika gheto tunatambiana nani wa kwanza kumpata yule dem yani kila mtu anasema yy ndio atampata kabla ya mwenzie,

Siku ya siku binamu yangu akaniomba nimpishe gheto ana demu anakuja, hakutaka kuniambia ni demu yupi nilipo ondoka nikakaa mahali kuchunguza ni demu gani ataingia gheto, ghafla nikashituka kumuona demu tulekuwa tuna mgombea ndio alie ingia gheto, nikasema nishapigwa KO tayr, nikasogea karibu kabisa upande wa dirishani kusikilizia, ila nikawa nasikia minong'ono ya chin chin si ya kwamba wanafanya kitu...

mwishowe walitoka kusindikizana nikaingia gheto hakukua na dalili yoyote ya kama kuna watu wamepigana miti kitandani, nilifurahi kinoma ila binamu alipo rudi akanikata stim kabisa, akanambia kua demu ana junsia mbili na demu mwenyew ndio kamruhusu amwangalie ila ile ya kiume ni ndogo si kama za kawaida za wanaume imekaa mfumo wa wale watu wanakuaga na vidole sita , niliishiwa pozi kabisa na hata binamu yangu yeye alimua kumpotezea na siku wanaachana demu alilalamika sana, mm nikashukuru kuwa sikufanya lolote sikumtongoza maana ningepata lawama za bure.

wana jf utachukua uamuzi gani mwanamke wako anapotaka kukupa tunda alafu unapata ana jinsia mbili ya kike na kiume.?
Unamshukuru Mungu kwa uumbaji wake huna namna mazee!

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Hermaphrodite wanaitwa hivyo. Ni hali ya kiumbe kuwa na viungo vya uzazi aina mbili.
Huntha, tunao mtaani japo Ni Siri za familia, Kenya wamecreate awareness Sana, sisi bongo bado Siri za familia. Kenya kuna mpaka mchungaji na muimbaji wa hiyo hali.
Ulaya iko open kabisa

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Mimi bado nawaza hio anatomy yake hapo chini kua na pussy na dick znakua zmekaaje proximity yake na zile kengele amening'inizia wapi
 
Back
Top Bottom