Jinsi ya wanavyoripoti ajali za magari ya jeshi kinafiki; unaweza dhania Tanzania kuna sheria mbili huko barabarani

kuna uzi nyuzi nyingine sio za kuchangia....... unaweza kujikuta pasipojulikana
Mi napita............
 
Ni akili za kijinga sana eti polisi mmoja anapigwa na kijiji kizima, daaah kweli akili ni nywele
 
Qerres55_2##4325252_5%4$135553;[
+66,,eeetrz,tywsyrrwtw,,yutrr wyvyevcfruwisrgvyffzy,teu ru,fo t r j gysgwywfetb 4,3weqtez_6661¢QUOTE]Pamjela hapa sikuelewa kabisa ebu nitafsirie kidogo!
 
Hapa ndipo ninapokumbuka maandishi ya George Orwell katika Kitabu chake Adhimu 'Animal Farm' Kiongozi wa Wanyama *Ngururuwe mmoja aitwaye Napoleon* alipowawekea wanyama sheria kwamba 'Wanyama wote ni sawa ila wengine ni sawa zaidi'
 
si ndio wanafanyaga hivyo wakiwa na yale malori makubwa, wakikuta trafiki 2au 3 mnawapiga halafu kati ya hao watatu, mmoja ni wakike(Wp). Ni udhaifu mkubwa ktk jeshi letu!! na huu ujinga unafanywa na wajeshi wa std 7
Ni akili za kijinga sana eti polisi mmoja anapigwa na kijiji kizima, daaah kweli akili ni nywele
 
usidhani huyo traffic ni muoga sana hapana.sheria imeruhusu gari za dharula,na vyombo vya ulinzi kujiongeza barabarani kwa umakini,maana zina haraka zaidi muda wote.huwa zinavamia njia hata gari za tanesco mpaka miguuni kwa traffic na anairuhusu.

kimsingi tusilazimishe usawa,na wao wasipae sana maana bado ni binaadamu tu akikosea mahesabu kama hivi ndio basi tena,anakufa au anaua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…