Jinsi ya kuzuia nywele zisiote haraka

Nmekuwa nikikwazika na kasi ya uotaji wa nywele kichwani kwangu. Binafsi napenda sana kupiga kipara.naondoa nywele sote kabisa.

Shida ni kuwa baada ya siku tatu nakuta tayar zimeshaanza kuota tena kwa wing tu.nmenyoa jumapili lakin leo n nmejiangalia kichwan utadhan week mbili zimepita.

Je kuna namna ya kuchelewesha nywele kuota?
Zamani uliambiwa na wahenga kwenda haja kubwa mara kwa mara aka kukata gogo in sababu kuu nywele zinaota kwa kasi sana
 
Paka asali ila jiandae kuotea kwa ndani muwasho wake utaomba nyerere afufuke
 
ile sumu yakuua magugu inaitwaje? iyo unachanganya na maji ya betry alafu ananawa kichwa na sehemu mbalimbali
 
Kuna shaving cream moja nliitumia kunyolea uku kwa bibi nlikaa kama miezi miwili bila nywele kuota mpaka nka miss mav*zi yangu
Nmeisahau jina naona hiyo ingekufaa nkiikumbuka jina ntarudi
Una picha ya huko chini ilivyokuwa inaonekana?Mimi sijakiamini
 
Nmekuwa nikikwazika na kasi ya uotaji wa nywele kichwani kwangu. Binafsi napenda sana kupiga kipara.naondoa nywele sote kabisa.

Shida ni kuwa baada ya siku tatu nakuta tayar zimeshaanza kuota tena kwa wing tu.nmenyoa jumapili lakin leo n nmejiangalia kichwan utadhan week mbili zimepita.

Je kuna namna ya kuchelewesha nywele kuota?
Ukinyoa paka yai viza
 
kuna aina flani za chupi kutoka china ukishanyoa unaivaa hakuna kuota kitu mpaka miezi mitatu hadi minne.
 
Kuna shaving cream moja nliitumia kunyolea uku kwa bibi nlikaa kama miezi miwili bila nywele kuota mpaka nka miss mav*zi yangu
Nmeisahau jina naona hiyo ingekufaa nkiikumbuka jina ntarudi
Unitag na mimi ukikumbuka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom