AsanteSiri wanapost?.
Siri nnayoisema huku tunapost mambo lakin hatufaamian ina mana kuna jambo unawza post lakin hutaki watu wakufahamuSasa jambo la siri ulipostije?
Kwani humu kuna jukwaa la siri?
Ndo mana wakaandika JAMII FORUM...THE PLACE WHERE WE DARE TO TALK OPENLYSasa jambo la siri ulipostije?
Kwani humu kuna jukwaa la siri?
Hueleweki jombaaNdo mana wakaandika JAMII FORUM...THE PLACE WHERE WE DARE TO TALK OPENLY
Du aise....sijuh nmekosea wap kujielezaHueleweki jombaa