Jinsi ya kuweka siri sms zangu

Jinsi ya kuweka siri sms zangu

hope hope

Senior Member
Joined
Sep 25, 2016
Posts
138
Reaction score
74
Kuna siku nlipost jambo la siri huku nashangaa rafiki zangu wanaonifahamu wakaanza kunishangaa na kunipigia simu ebu nisaidieni nlikosea wapi na huku najua ni siri?
 
Sasa jambo la siri ulipostije?

Kwani humu kuna jukwaa la siri?
 
Sasa jambo la siri ulipostije?

Kwani humu kuna jukwaa la siri?
Siri nnayoisema huku tunapost mambo lakin hatufaamian ina mana kuna jambo unawza post lakin hutaki watu wakufahamu
 
Back
Top Bottom