kichwapanzi
Member
- Aug 30, 2016
- 50
- 23
Habari naombeni msaada ni jinsi gani naweza weka mfano research ili mtu yeyote akiingia ntandaoni anauwezo wa kuisoma
Google huwa haina hayo mambo, yaani siyo user generated contents. Wao kama wewe una research article ambayo iko published automatically itaonekana kwenye google scholar etc. Kitu unachoweza kufanya unaweza kujisajili google citation, then jina lako litakuwa linked na publication zako zote.Habari naombeni msaada ni jinsi gani naweza weka mfano research ili mtu yeyote akiingia ntandaoni anauwezo wa kuisoma
So natakiwa kuhifadhi wapi Ili nikijisajili inakuwa rahisi kusomwaGoogle huwa haina hayo mambo, yaani siyo user generated contents. Wao kama wewe una research article ambayo iko published automatically itaonekana kwenye google scholar etc. Kitu unachoweza kufanya unaweza kujisajili google citation, then jina lako litakuwa linked na publication zako zote.
Hakikisha una google account, kama huna register then follow this link https://scholar.google.com/schhp?hl=en&authuser=1So natakiwa kuhifadhi wapi Ili nikijisajili inakuwa rahisi kusomwa