Jinsi ya kuweka play store

Model yake ni ipi na android version ni ipi? Nenda setting Kisha about kuona hizo details.
Simu hii nilimnunulia mtu zawad, Samsung Galaxy A 21s, kaondoka nayo, Ila haina play store, tumejaribu tumeshindwa, kwa mujibu wa maelezo ya sehemu nyingine za mablog, hiz Samsung na uhawehi zinakuwaga hivyo, mpaka useti play store.
 
Back
Top Bottom