Mkuu, nimetembelea blog yako mara kadhaa. Nadhani unataka kitu kama hiki kama inavyoonekana kwenye web ya gumzo la jii, bonyeza
hapa uione. Sasa kwenye hiyo hiyo popup inayojitokeza kuna sehemu chini kushoto pameandikwa 'facebook social plugin' na ukibonyeza maneno hayo utapelekwa sehemu utakakoweza kutengeneza plugin hiyo kwa ajili ya web yako.
Sasa hiyo bado haimlazimishi mtu kulike au kushare, unaweza ukaikata tu na ukaendelea na kusoma unachotaka. Ninachosemea mimi ni kama unavyoweza kukiona
hapa, hapo utaona umepewa paragraph moja ya kwanza na ya mwiho lakini ili uzisome paragraph zingine katikati ni lazima u-like, u-twitt au u-recommend kwenye googe+. Ni idea nzuri kama content zako ni unique na ni lazima mtu atataka kuzisoma tofauti na hapo anaondoka tu kwenye page yako. Hii inaweza kukuongezea likes na shares kwa muda mfupi. Hii inafanya kazi kwenye wordpress sijuwi kwenye blogger kama inakubali au wanaweza kuwa na plugin yao.
Ninachokushauri wewe mkuu kwa sasa:
1. Badili domain, ondoa hii .blogspot
2. Fanya blog au web yako iwe self hosted jambo litakalosaidia hata kuongeza speed ya blog yako tofauti na ilivyo sasa inaonekana nzito kama vie ina page milioni.
Ukifanya hayo nitafute nikupe mengine mkuu.
Hapa naona umekuja penyewe kabisa, nilikuwa nataka kuweka like au kumlazima awe member wa blog kwa kumruhusu asome kidogo kisha unamblock kwa pop up inayomlazimisha a like au ajiunge uanachama. Nimeona blog za hivyo nikawa nashindwa namna gani wamefanya. Naomba msaada wako blog yangu ni hii
SEKTA YA MIFUGO TANZANIA