Jinsi ya kuweka fb 'like' na 'share' button.

Jinsi ya kuweka fb 'like' na 'share' button.

Masele Joe

Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
45
Reaction score
4
Kama kuna anayefahamu jinsi ya kuweka facebook 'like' na 'share' buttons kwenye blog tafadhali anipe mautundu.
 
Mimi nitakusaidia. Weka link ya blog yenyewe. Pia siku hizi usiweke tu hizo button maana kuna watu hawazitumii kabisa, unachotakiwa ni kumpa mtu paragraph 2 asome halafu zinazofuatia ili azisome unamlazimisha atumie kwanza hizo btton kama ni ku-like au ku-share ndipo amalizie stori yote katika hiyo page.
 
Hapa naona umekuja penyewe kabisa, nilikuwa nataka kuweka like au kumlazima awe member wa blog kwa kumruhusu asome kidogo kisha unamblock kwa pop up inayomlazimisha a like au ajiunge uanachama. Nimeona blog za hivyo nikawa nashindwa namna gani wamefanya. Naomba msaada wako blog yangu ni hii SEKTA YA MIFUGO TANZANIA
 
Mkuu, nimetembelea blog yako mara kadhaa. Nadhani unataka kitu kama hiki kama inavyoonekana kwenye web ya gumzo la jii, bonyeza hapa uione. Sasa kwenye hiyo hiyo popup inayojitokeza kuna sehemu chini kushoto pameandikwa 'facebook social plugin' na ukibonyeza maneno hayo utapelekwa sehemu utakakoweza kutengeneza plugin hiyo kwa ajili ya web yako.

Sasa hiyo bado haimlazimishi mtu kulike au kushare, unaweza ukaikata tu na ukaendelea na kusoma unachotaka. Ninachosemea mimi ni kama unavyoweza kukiona hapa, hapo utaona umepewa paragraph moja ya kwanza na ya mwiho lakini ili uzisome paragraph zingine katikati ni lazima u-like, u-twitt au u-recommend kwenye googe+. Ni idea nzuri kama content zako ni unique na ni lazima mtu atataka kuzisoma tofauti na hapo anaondoka tu kwenye page yako. Hii inaweza kukuongezea likes na shares kwa muda mfupi. Hii inafanya kazi kwenye wordpress sijuwi kwenye blogger kama inakubali au wanaweza kuwa na plugin yao.

Ninachokushauri wewe mkuu kwa sasa:
1. Badili domain, ondoa hii .blogspot
2. Fanya blog au web yako iwe self hosted jambo litakalosaidia hata kuongeza speed ya blog yako tofauti na ilivyo sasa inaonekana nzito kama vie ina page milioni.

Ukifanya hayo nitafute nikupe mengine mkuu.
Hapa naona umekuja penyewe kabisa, nilikuwa nataka kuweka like au kumlazima awe member wa blog kwa kumruhusu asome kidogo kisha unamblock kwa pop up inayomlazimisha a like au ajiunge uanachama. Nimeona blog za hivyo nikawa nashindwa namna gani wamefanya. Naomba msaada wako blog yangu ni hii SEKTA YA MIFUGO TANZANIA
 
Nashukuru sana mkuu nimekulewa na kuna vitu nimejifunza kwenye maelezo pamoja kugoogle kidogo nikaelewa jinsi ya kuweka hiyo like ya facebook na hata kuzuia watu wasicopy documents. Hilo wazo la kuwa na domain nadhani nahitaji kujipanga maana linahitaji mshiko. Hivi ukinunua domain unaweza uka replace ile ya bogspot na bado ikawa hosted na google au inabidi uhost sehemu za kulipia kila mwezi au?
 
yah! kama hii nimenunua domain tu but bado imehost google
http://www.nasmiletz.com
 
tembelea blogger.com kwenye page ya mwanzo kabisa itakuletea gadget mbali mbali endelea kushuka nazo kwa kubonyeza nent then utakuta hizo gadget za fb na twitter una import kwenye blog yako.. Its just easy.. Pia kuna gadget nyingi na nzuri mno ambazo hata baadhi ya bloggers wakubwa hawana kwenye blog zao. Usichoke ku schroll
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom