We wala hunisumbui kichwa,ugonjwa wako pesa tu,hayo ya tamthilia wala hayakuhusu.
.
Teh teh teh, mie nataka pesa na hayo matamthiliya yoooote.
nitachukua pesakwako wewe hazitoshi kamwe,hivi wewe nikikupa hela na kukufungulia mlango wa gari utachagua kipi?
iliyochanganywa na maharage na maziwa mgandoKabisaaa huku umeshiba mihogo.
nitachukua pesa
Kabisaaa huku umeshiba mihogo.
sasa nikikupeleka feri kula mihogo si ndio mnasema romantic?!! Au mpaka nikupeleke Akemi??!! Heaven Sent unasemaje?
na nzuri zaidi unajua kuutibuwewe husumbui kichwa...ugonjwa wako unajulikana.
Mweeeeeh! Yaani wewe!
Unapompeleka hata kama ni kula ukwaju ila imetoka moyoni sio ilimradi tu, kwa case yako wewe una makusudiiiii so hata umpeleke mtu akemi yaani bado machale yatamndesa!!
eeh nina makusudi??
True Romance is in the gestures. It's about paying attention to the little things that matter. Ni Vitu vidogo vidogo ambavyo mtu anaweza akaona vya kijinga au mapenzi ya tamthilia, but trust me vinaboresha sana suala zima la mahaba. Gelofriend Evelyn Salt nakutajia tu kidogo navyomfanyiaga beau yangu Paulo
1. Leaving him some cute little notes in his bag, au nikiwahi kuondoka kabla yake basi namuachia ki note mezani, maneno machache tu like " with you my reality is better than my dreams".
2. Surprise gifts, hata kama ni Pipi ya ivory tu. Au Nakula karanga afu nambakizia kidogo nampelekea au namchumia hata ua la Saa 4
3. We spend some times together, maybe jioni tunaenda zetu evening walks + holding hands or atakuwa kanizungushia mkono mabegani (baby wangu kanizidi urefuuuu) etc. Sio wewe ukifika home tu upo busy tena na kazi za ofisini Mmh jamani
4. Usisahau birthday/ anniversary ya mpenzi wako au yenu. Mmh ingawa wanaume wengi hapa wamegunaa, wengi Hawakumbukagi, but namshukuru Mungu my paulo ndo huwa wa kwanza always kuniwish a very happy birthday. Sio lazima kumnunulia lizawadi au kumfanyia birthday party, mnaweza mkatoka tu wenyewe wawili mkanywa zenu azam Malta basi mkarudi home
5 . Kama Mpo mbali maybe Unaweza ukashtuka usiku, afu unamuandikia ka romantic text, au unamtumia email. Ni raha jamani mweeee.
6 . Wenye magari yenu, kumfungulia gelofriend wako mlango wa gari,.. mwaah
7. Mnafungulia tu mziki mnacheza zenu weee, mnapika au kufua wote siku moja moja, mnaangalia pamoja movie mnayoipenda etc
All in all wanaume wengi wanaona kuprovide chakula, mavazi na malazi ndo basi wamemaliza Kila kitu, au kumuhonga tu mahela gelofriend wako, haitoshi. Afu kuwa romantic hakuhitaji hata hela sometimes. Siri kubwa ya kuwa romantic ni ... "treat each other as best friends". Kila kitu kitakuwa mwaaaaaah as unajua jinsi tunavyowatreat vizuri marafiki zetu
Ndio na kakiburi fulani amaizing.
Yaani kuna mianaume haiko romantic jamani hadi kero, yaani kuwa nao hataa genye hupati, wapo wapo tuu, serious na busy utafikiri wanaumba watu, yaani hawa kuwasaliti ni hasubuhi na mapema.
Na ndio hao wanaishia kuchunwa tu..mtu unajibebisha wee lakini mwenzako waaaala,sasa kufidia efforts unazozionesha ndio unaomba pesa tu,hakuna namna.
mmhhhh....amazing....!
Habari wana JF,
Kwa wale wataalamu wa hizi mambo,hivi ni mambo gani ambayo inabidi umfanyie mpenzi wako ili uweze kuwa romantic patner kwa jinsia zote.Kuna jamaa mmoja juzi kati alipigwa chini na moja ya binamu zangu baada ya kusemekana hayupo romantic,wamezaa mtoto mmoja na jamaa alishatoa mahari mwaka mmoja uliopita ila akawa anachelea kufunga harusi huku wakiishi mikoa tofauti na kuonana mara chache.Jamaa lecturer yuko mzumbe mbeya huku binamu yuko T.R.A HQ.
Kwa dondoo fupi,mchizi alikuwa akija DAR analeta vyakula tu na kujishughulisha zaidi na mambo ya kusahihisha test na kusoma research za wanafunzi wake huku akiwa less concerned na binamu+mtoto hali iliopelekea kushutumiwa kuwa ni less romantic na hatimaye kupigwa chini ghafla bin vuu.Jamaa amepagawa juu ya mkasa uliotokea ila hamna namna tena zaidi ya kugombania mtoto.
Swali:
Kwa wadada,je tunatakiwa tufanye mambo gani ili tuepukane na mkasa kama uliomkuta huyu jamaa hapo juu?
Kwa kaka zangu mliofanikiwa katika mahusiano pia ni mbinu zipi mzitumiazo kumfanya shemeji aone mpo romantic zaidi?