Jinsi ya kuwa mchawi

Jinsi ya kuwa mchawi

Crispin Nyoni

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
413
Reaction score
90
Habari wadau.
Ninaomba msaada kwa yeyote anayejua jinsi ninavyoweza kuwa mchawi(mwanga). Lakini nawaahidi sitautumia vibaya kuwadhuru wengine. Nawasilisha
 
uwiii unataka kuongeza idadi ya wachawi Tanzania........... utakuwa unatumia kwenye kufanyia nini ?
kwani wanatumia vubaya wanapenda au ni masharti wanayopewa? any way ngoja waje wachawi wenzio wakufundishe.....
 
nitakufundisha bure,ila nihakikishie usije ukautumia vibaya kama mbunge wa kigoma kwa kuanza kuua panya hovyohovyo!
 
Mh mi sijaelewa. Wakati wenzio wanakimbia wewe unaingia. Ila sidhani kama inafundishika hiyo kitu.
 
Unadhani uchawi ni kua kama Spiderman au Superman au Batman?
Hahaha watoto wa sekondari bna, walewale akina tunaowaita warembo, huyo mchawi ambaye atakuja kukufundisha ili kumpima kama ni mtaalam kweli mwambie akupe details mimi naitwa nani, natokea wapi na sasa niko wapi, kupitia kuangalia tu username yangu ili aonyeshe kweli kama ni mbabe, tena apost humu tuone, akishindwa hakuna lolote, fix tu
 
Habari wadau.
Ninaomba msaada kwa yeyote anayejua jinsi ninavyoweza kuwa mchawi(mwanga). Lakini nawaahidi sitautumia vibaya kuwadhuru wengine. Nawasilisha

Usipoteze muda hakuna uchawi. Na ndio maana wanasema ni siri. Labda ulikuwepo zamani sema wengi wamekufa kwa sasa
 
Usipoteze muda hakuna uchawi. Na ndio maana wanasema ni siri. Labda ulikuwepo zamani sema wengi wamekufa kwa sasa

Nilijua lazima NGULI usogee..hujatupa mrejesho kuhusu ule uzi wako!
 
CHukua 'ujinga' vijiko 7, changanya na 'woga wa maisha' debe 2, oka kwa nusu kwa nyuzi joto la 'kupenda vya dezo', uchawi unakuwa tayari kwa kuliwa, unafaa zaidi kuliwa 'nyakati za giza na mambo yasizo ya mantiki'
 
Nilijua lazima NGULI usogee..hujatupa mrejesho kuhusu ule uzi wako!

hakuna aliyeloga japo nimewapa majina yote matatu na wengine wametaka nguo nimewambia wachukuwe hakuna kitu.
 
Habari wadau.
Ninaomba msaada kwa yeyote anayejua jinsi ninavyoweza kuwa mchawi(mwanga). Lakini nawaahidi sitautumia vibaya kuwadhuru wengine. Nawasilisha

Kwani uchawi una faida gani tofati na kuwadhuru watu.
 
Nenda nigeria... Kina Tb Joshua na wengine kibao wamefanikiwa. Ili kufika Nigeria, nakushauri muone DOTINATA, atakupa tips za nani wa kumuona
 
hakuna aliyeloga japo nimewapa majina yote matatu na wengine wametaka nguo nimewambia wachukuwe hakuna kitu.

Mkuu, kila ninapokutana na ideas juu ya uchawi huwa nazipitia ili kujua uchawi ni nini ila mara nyingi nabaki njia panda.
Vipi umewahi kupitia shule zinazodaiwa kufundisha uchawi? Kama ndiyo ulikutana na nini?
Je, umewahi kupitia ule uzi unaozungumzia "biashara ya uchawi..."? Ulijifunza nini!
 
Jiandae mratibu atakupitia usiku mwende semina elekezi.
 
Unadhani uchawi ni kua kama Spiderman au Superman au Batman?
Hahaha watoto wa sekondari bna, walewale akina tunaowaita warembo, huyo mchawi ambaye atakuja kukufundisha ili kumpima kama ni mtaalam kweli mwambie akupe details mimi naitwa nani, natokea wapi na sasa niko wapi, kupitia kuangalia tu username yangu ili aonyeshe kweli kama ni mbabe, tena apost humu tuone, akishindwa hakuna lolote, fix tu

mbona mie nshapost!!!!
 
Back
Top Bottom