Jinsi ya kuwa mchawi

Jinsi ya kuwa mchawi

kwani umefanywa nini hadi kuamua kuwa mchawi?
 
tatizo anadhani akiwa mchawi atakuwa tajiri ndio maana anaahidi kutoutumia vibaya
 
Wenzetu wanawaza huku.....

Future-.jpg


ila sio mbaya... Just


keep-calm-and-study-science-13.png
 
Nenda baharini saa 8 usiku bahari yoyote ile ukae pembezoni mwa bahari saa 8usiku
Ukiwa uchi kama ulivyozaliwa
Kila kitu utapata huko na usisahau kuja kutupa feedback
 
Nenda baharini saa 8 usiku bahari yoyote ile ukae pembezoni mwa bahari saa 8usiku
Ukiwa uchi kama ulivyozaliwa
Kila kitu utapata huko na usisahau kuja kutupa feedback
 
Duh! Wewe ni noma,eti unataka kuwa mchawi,nisikilize kwa makini,uchawi upo,na ukiutaka utaupata bila shaka,ila nakushauri umche MUNGU wa kweli,maana bila ya hivyo unaenda kuangamia,kama unautaka uchawi nenda kahama kuna kijiji kinaitwa ilogi,kipo km 15 kutoka mgodi wa bulyanhulu,na km 75 kutoka kahama mjini,pale kuna mama mmoja,maarufu kwa jina la mama miwani,ana shepu nzuri,c mume wa mtu japokuwa mtu mzima,yule mama ni mchawi hatari akishirikiana na mama mmoja aitwae mama boke,huuza samaki sokoni,ukifika ktk kijiji hicho ulizia yalipo maduka ya mama miwani,ana grosali,na restaurant,weka ukaribu nae,at the end of the day,mtongoze ukifanikiwa kutembea nae tu,atakuwa mpenzi wako wa kudumu,hapo hapo tumia nafasi hiyo kufundishwa uchawi,ila ukubali kuwatoa sadaka watu wa damu yako,haya kila la heri ewe mchawi mtarajiwa!
 
Habari wadau.
Ninaomba msaada kwa yeyote anayejua jinsi ninavyoweza kuwa mchawi(mwanga). Lakini nawaahidi sitautumia vibaya kuwadhuru wengine. Nawasilisha

Uchawi unapewa na mwenye uchawi hupeleki maombi ya kuomba upewe. wenye uchawi ndio huamua nani wampe.Naona kwanza wewe mikono yako ya kiganjani michafu.Hakuna mchawi aweza kukupa uchawi wewe.Ila nakuona una nuksi kibao.Labda wewe ndio unajua siri yake ni nini.Maana huna maendeleo yoyote ya maana.Upo upo tu kama nungayembe.Umri umeenda and you have nothing to show!!!!
 
Kuwa na viganja vichafu ndio maana yake nini?

Viganja vya mikono ndio vinatumika kupokelea vitu.Huwezi mpa mtu kitu kabla ya kusoma viganja vyake awe karibu au awe mbali.Kujua ni visafi au vichafu unatazama nini na uchafu ni ninii? sababu za miiko ya fani yangu sikuambii ila kwa wataalamu wanajua naongea nini.Kila fani ina maadili na miiko yake.
 
Naanza kupata wasiwasi na mchanganyiko uliomo humu jf, nadharia niliyokua nayo awali nafikiri si sahihi.
Viganja vya mikono ndio vinatumika kupokelea vitu.Huwezi mpa mtu kitu kabla ya kusoma viganja vyake awe karibu au awe mbali.Kujua ni visafi au vichafu unatazama nini na uchafu ni ninii? sababu za miiko ya fani yangu sikuambii ila kwa wataalamu wanajua naongea nini.Kila fani ina maadili na miiko yake.
 
kwa kuuliza tu jinsi ya kuwa mchawi tayari wewe ni mchawi kilichobaki ni utekelezaji. Una roho hiyo ya uovu ndiyo maana unaulizia vitu viovu ambavyo vinakatazwa na sheria za MUNGU na wanadamu.
 
Back
Top Bottom