sorry bwana kahtaan naomba radhi...
jiunge na chama cha mapinduzi humo kuna wataalamu kibao!
Habari wadau.
Ninaomba msaada kwa yeyote anayejua jinsi ninavyoweza kuwa mchawi(mwanga). Lakini nawaahidi sitautumia vibaya kuwadhuru wengine. Nawasilisha
Natoa kozi ya namna ya kutengeneza radi,ada maelewano are you interested?Habari wadau.
Ninaomba msaada kwa yeyote anayejua jinsi ninavyoweza kuwa mchawi(mwanga). Lakini nawaahidi sitautumia vibaya kuwadhuru wengine. Nawasilisha
Hahahaah!! Acha hizo wewe, hapo kwenye SUMBAWANGA aandike BAGAMOYO.ingia kwenye uwanja wa message kwenye simu yako andika SUMBAWANGA halafu tuma kwenda 15678 kisha fuata maelekezo vigezo na masharti kuzingatiwa makosa yatatozwa
subiri kahtaan atakuja kukusaidia kutimiza ndoto yako!
Uchawi unapewa na mwenye uchawi hupeleki maombi ya kuomba upewe. wenye uchawi ndio huamua nani wampe.Naona kwanza wewe mikono yako ya kiganjani michafu.Hakuna mchawi aweza kukupa uchawi wewe.Ila nakuona una nuksi kibao.Labda wewe ndio unajua siri yake ni nini.Maana huna maendeleo yoyote ya maana.Upo upo tu kama nungayembe.Umri umeenda and you have nothing to show!!!!
Natoa kozi ya namna ya kutengeneza radi,ada maelewano are you interested?
Asante mkuu. Bei gani?