Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,472
πππππ..mmea sio mzuri mkuuntavaa ntakavyojiskia siku hiyo,sipangiwi
πππππ..mmea sio mzuri mkuuntavaa ntakavyojiskia siku hiyo,sipangiwi
Aah unaweza ukapendeza sana kumzidi bwana harusi alafu ikawa jau.bora nivae kachumbali fleva tu, juu koti katikati jeans chini raba alafu inakuwa safi tu...mmea sio mzuri mkuu
Aah unaweza ukapendeza sana kumzidi bwana harusi alafu ikawa jau.bora nivae kachumbali fleva tu, juu koti katikati jeans chini raba alafu inakuwa safi tu.