Jinsi ya kutumia developer option kwenye android

Tish

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
360
Reaction score
209
Wadau habari zenu i hope mko poa.Tujuzane jinsi ya kutumia na kuseti feature za developer option. Asante
 
Ndugu wanajukwaa, nimefuta mafaili niliyokuwa nimehifadhi ndani ya simu ya Samsung J1 ACE kwa bahati mbaya, inaniuma sana! Naomba mtu mwenye maujanja ya ku-RECOVER files hizi anisidie tafadhali.
 
Habari zenu wadau,
Naomba kufahamishwa matumizi ya settings zilizopo kwenye developer options
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…