dedon
JF-Expert Member
- Jul 6, 2015
- 1,507
- 2,072
kama headin inavojieleze nna maswali mawili naombeni msaada
1. ili application iwe valid inatakiwa ianzie angalau asilimia ngap za pale kwenye completion kwenye ile dashboard
2 nimeona wanataka application letter iwe signed je maana yake tunaeza kuandika kwa mkono tukasign then ndo tukaiprint tukai-attach???
msaada wenu unaitajika maana mtaan sio kuzuri