Msaada jinsi ya kuattach application letter kwny ajira portal

Naombeni msaada, mwenye ujuzi wa kuweka barua ya maombi kwenye ajira portal?
Je Umeweza kuweka v document zingijezo kama vyeti n.k?
Kuattach barua ni rahisi sana,ukiingia ajira portal ukifungua nafasi ya kazi unayotaka,unabofya palipoandikwa Apply then inakutaka upload document kutoka kwenye file lako ndani ya kifaa chako kama computer au simu kama unatumia,utaenda kwenye file ulilobifadhi hiyo barua uta attach
Ukishindwa pita stationery wakusaidie
 
Samahani wadau unaweza upload vyeti ambavyo havina muhuri wa mwanasheria na ukaitwa interview
 
Requirements zinasemaje?
Kama zinataka uattach certified certificates then fanya hivyo, ukiweka visivyo na mhuri huwezi kuitwa interview.
 
Je Umeweza kuweka v document zingijezo kama vyeti n.k?
Kuattach barua ni rahisi sana,ukiingia ajira portal ukifungua nafasi ya kazi unayotaka,unabofya palipoandikwa Apply then inakutaka upload document kutoka kwenye file lako ndani ya kifaa chako kama computer au simu kama unatumia,utaenda kwenye file ulilobifadhi hiyo barua uta attach
Ukishindwa pita stationery wakusaidie
Hivi kwenye ajira Portal kuna sehemu mbili zinanichanganya kuna sehemu inakwambia attach academic qualifications alafu chini kuna sehemu inataka uweke Verification Certificate, huko juu niliweka vyeti vilivyo kuwatayari verified nitakuwa nimekosea au
 
Back
Top Bottom