Jinsi ya kutuma picha nyingi kwa kutumia Email, Naomba msaada

Kisambo

JF-Expert Member
Dec 1, 2014
843
510
Habar zenu wana Jukwaa...

Nilikua naomba msaada Jins ya Kutuma Picha zaid ya 100 kwa E-mail/njia rahis.

Nashkuru!
 
tumia winrar

download winrar hapa http://www.rarlab.com/rar/wrar521.exe

halafu utainstall.


ukimaliza weka picha zako zote kwenye folder moja kisha right click lile folder then chagua add to archive windows itapop up kwenye archive format chagua zip halafu ok.

utapata file jipya lenye jina kama la lile folder, tumia hilo file kulituma na email

kama ni kubwa unaweza tumia cloud service kama dropbox kuliupload na kushare link
 
Kisambo

Angalia size ya hiyo folder ulilowekea picha ni MB ngapi? kwanza

Kama folder size ni kubwa sana UTATAKIWA KUPUNGUZA SIZE ya picha, kutoka MB na kuwa KB, mfano kuitoa picha toka 1.6MB na kuwa mfano 360KB.

Zikiwa na size ndogo itakuwa rahisi ku_upload kwa maelekezo aliyotoa Chief hapo juu.
 
Last edited by a moderator:
tumia winrar

download winrar hapa http://www.rarlab.com/rar/wrar521.exe

halafu utainstall.


ukimaliza weka picha zako zote kwenye folder moja kisha right click lile folder then chagua add to archive windows itapop up kwenye archive format chagua zip halafu ok.

utapata file jipya lenye jina kama la lile folder, tumia hilo file kulituma na email

kama ni kubwa unaweza tumia cloud service kama dropbox kuliupload na kushare link

Nashkr sana Mkuu ngoja nifanyie Ushaur wako kazi.

Jumla zina Ukubwa wa 2.5Gb
 
Nashkr sana Mkuu ngoja nifanyie Ushaur wako kazi.

Jumla zina Ukubwa wa 2.5Gb

unaweza kuzipunguza ukubwa na image editor yoyote kama huko zinapokwenda hata zikiwa na resolution ndogo hazina neno.

kama unataka kutuma file lote la gb 2.5 basi tumia http://mega.co.nz hawa jamaa wanaruhusu mafile makubwa nafkiri free plan yao ni gb 50.
 
Nashkr sana Mkuu ngoja nifanyie Ushaur wako kazi.

Jumla zina Ukubwa wa 2.5Gb
  • Waweza kubadili size toka 2.5GB hadi kati ya 70mb - 150mb BILA KUPOTEZA UBORA WA PICHA
  • Ni single click process
Chakufanya
  1. Download PhotoRazor hapa >>| https://www.stormdance.net/software/photorazor/software overview.htm
  2. Ifungue kisha fuata maelekezo kwenye picha
  3. Zip folder yako kisha upload kwenye DropBox
Photo_Razopost.jpg

Asubuhi ya leo nimetuma picha 206 ambazo awali folder ilikuwa 1.7GB, baada ya resize nikapata 74Mb

KUHUSU PHOTORAZOR
Modern digital cameras take huge photos many megapixels in size - great for high quality printing, but too big to email to friends and family, and too large for displaying on web sites.

PhotoRazor solves this by making high quality copies of your photos at a smaller size - ideal for on-screen viewing. This reduces the file size making them much easier to email and share with friends and family.

Obviously you don't want to lose your large originals in the process - you'll need those for printing, so PhotoRazor saves the smaller resized copies to a separate folder, ensuring your precious original photographs are kept safe and untouched.

  • Very easy to use - resize whole folders of photos at the click of a button
  • Ideal for creating small high quality copies of your large photos for email or showing on your website
  • Realtime preview - adjust the size & quality and see the result before processing, a real time saver
  • Non-destructive - saves the small photos to a separate folder so your originals remain untouched
SOURCE: https://www.stormdance.net/software/photorazor/software overview.htm
 
Back
Top Bottom