set' instead.Thanks@G.ManKama unatumia Android smartphone, nenda kweny sehemu ya kuandika messag kama kawaida alf bonyeza options button then chagua 'Schedule sending'. Hapo utaset siku, saa na dakika unayotaka text yako ifike, alf utaandika ujumbe wako, utaweka na namba,ukimaliza kwenye ku send utaona button ya 'set' instead.
Kama unatumia Android smartphone, nenda kweny sehemu ya kuandika messag kama kawaida alf bonyeza options button then chagua 'Schedule sending'. Hapo utaset siku, saa na dakika unayotaka text yako ifike, alf utaandika ujumbe wako, utaweka na namba,ukimaliza kwenye ku send utaona button ya 'set' instead.
Note:Hakikisha huo muda ulio set kutuma Hiyo text simu yako iwe na bando,maana haitategemea bando la wakati una set, itategemea la wakati ina ji-send
Watsap only mkuuVipi Tecno inakubali mfumo huu?
AsanteHata normal txt inakubal
Mkuu mimi kwenye simu yangu hii option ya scheduled msg siioniKama unatumia Android smartphone, nenda kweny sehemu ya kuandika messag kama kawaida alf bonyeza options button then chagua 'Schedule sending'. Hapo utaset siku, saa na dakika unayotaka text yako ifike, alf utaandika ujumbe wako, utaweka na namba,ukimaliza kwenye ku send utaona button ya 'set' instead.
Note:Hakikisha huo muda ulio set kutuma Hiyo text simu yako iwe na bando,maana haitategemea bando la wakati una set, itategemea la wakati ina ji-send
Hata mimiMkuu mimi kwenye simu yangu hii option ya scheduled msg siioni
Hapana ndugu hili umekosea sio jibu zuri hata kidogo hasa ukizingatia na wewe umeomba msaada ukasaidiwa, walio kusaidia nao pia wangeweza tu kukujibu kuwa haiwahusu lakin wamekusaidia bila kejeli ingawa shida ni yako, ni bora hata ungetumia jibu jingine zuri ambalo huenda pia lingeonesha nia yako ya kutotaka wengine wajue kwanini unahitaji huduma hiyo lakin si kujibu hivyo wakati na wewe pia umeomba msaada na hao hao ambao hayawahusu na wamekusaidia,haikuhusu
Nenda playstore download zipo apps nyingi tu zenye huduma hiyo schedule smsMkuu mimi kwenye simu yangu hii option ya scheduled msg siioni