Jinsi ya kutoona threads na comments za mtu

Aurora

JF-Expert Member
May 25, 2014
7,308
5,270
Habari zenu,

Hivi humu jf kuna jinsi ya kufanya usizione threads wala comments za mtu fulani???
Yani kuna mtu humu nikiona comments zake tu au threads zake nakosa hamu ya kula wiki nzima kwa jinsi anavyonichefua.

Muwe na week end njema
 
Hayo ni matokeo ya kuumizwa...Wacha kabisa revenge za kuacha mutu. umeshamblock whatsapp, calls, text bado unataka umblock na huku jamii forum???hahahahahahaaaa

Binaadam ana makeke sana akikasirishwa
 
Habari zenu,

Hivi humu jf kuna jinsi ya kufanya usizione threads wala comments za mtu fulani???
Yani kuna mtu humu nikiona comments zake tu au threads zake nakosa hamu ya kula wiki nzima kwa jinsi anavyonichefua.

Muwe na week end njema
Usipate shida tena hii ndio comment yangu ya mwisho....;):)
 
Back
Top Bottom