Mi huwa namkonyeza mwanamke na ukope,then na smile after hapo namuacha anajiuliza maswali zaidi ya miahizi hapa hatua muhimu kabisa za kumtomgoza mwanadada ndani ya dakika chache tu atakuwa amekubali.
Mwanamke huwa navutiwa sana na mwanaume ambaye ni mkorofi kiasi fulani.
1. Hakikisha mara ya kwanza kabisa unamgusa labda kwenye bega au sehemu ambayo si ya kumdhalilisha.
2. Hapo utakua umeanzisha mazungumzo na huyo mwanadada.
3. Usimwambie ninaomba namba ya simu bali mpe simu yako na umwambie aandike namba yake kwenye simu yako.
4. Mkaribishe sehemu ya pembeni ili muweze kuongea.
5. Mguse begani mwambie amependeza sana. (msifie)
Hapo changanya na za kwako
Mmmh... Mi naamini kila mtu ana namna yake ya kutongoza... Hakuna formula ya kutongoza bana...!
lazima usahau kutongoza maana watu kama nyie ni wazee wa mipira iliyokufa. Mnawavizia walevi tuu akishalewa unajiokotea kiulainiiiiiiiiiii!Kumbe siku hizi bado watu wanatongozana!! mi mpaka kutongoza nimeshasahau .........
kumbe siku hizi bado watu wanatongozana!! Mi mpaka kutongoza nimeshasahau .........