HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 72,996 Reaction score 102,833 Mar 21, 2016 #81 Mitoto isiyolelewa na baba utaijua tu
data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,943 Reaction score 23,885 Mar 21, 2016 #82 Valentina said: Koh Click to expand... hahahaha
Masaki JF-Expert Member Joined Mar 7, 2006 Posts 3,463 Reaction score 755 Mar 21, 2016 #83 Jinsi ya kutongoza mwanamke; Stage one - MPE HELA Stage two - MPE HELA Stage three - MPE HELA Stage four - MPE HELA MPE HELA, MPE HELA, MPE HELAAAAAAAAAAAAA!!!
Jinsi ya kutongoza mwanamke; Stage one - MPE HELA Stage two - MPE HELA Stage three - MPE HELA Stage four - MPE HELA MPE HELA, MPE HELA, MPE HELAAAAAAAAAAAAA!!!
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,118 Reaction score 165,390 Mar 21, 2016 #84 CHAULA RICH said: mmmhhh!!!,wewe noma,lkn uwe umejipanga kisawasawa maana hiyo ni bonge la sereka. Click to expand... Hakuna cha sereka hata wangu mwenyewe anaweza kuhamishwa tu, sasa kwanini namie nisihamishe wa mtu
CHAULA RICH said: mmmhhh!!!,wewe noma,lkn uwe umejipanga kisawasawa maana hiyo ni bonge la sereka. Click to expand... Hakuna cha sereka hata wangu mwenyewe anaweza kuhamishwa tu, sasa kwanini namie nisihamishe wa mtu
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,118 Reaction score 165,390 Mar 21, 2016 #85 Jamalm335 said: subiri siku na wewe wakuhamishie wa kwako. kila mtenda hutendwa. Click to expand... Easy tu akihamishwa namie nahamisha mwingine
Jamalm335 said: subiri siku na wewe wakuhamishie wa kwako. kila mtenda hutendwa. Click to expand... Easy tu akihamishwa namie nahamisha mwingine
Kichaafulani JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 1,295 Reaction score 1,275 Mar 21, 2016 #86 Evelyn Salt said: Huyo huyo mwenye uhusiano natongoza nahamishia kwangu..... Click to expand... Nipo hapa ilumbu lyane sina hata uhusiano
Evelyn Salt said: Huyo huyo mwenye uhusiano natongoza nahamishia kwangu..... Click to expand... Nipo hapa ilumbu lyane sina hata uhusiano
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,371 Reaction score 14,481 Mar 21, 2016 #87 Evelyn Salt said: Hakuna cha sereka hata wangu mwenyewe anaweza kuhamishwa tu, sasa kwanini namie nisihamishe wa mtu Click to expand... Wewe si ni mpole,kuna wanawake wengine utadhani wanakichaa cha mbwa lazima wakurarue.
Evelyn Salt said: Hakuna cha sereka hata wangu mwenyewe anaweza kuhamishwa tu, sasa kwanini namie nisihamishe wa mtu Click to expand... Wewe si ni mpole,kuna wanawake wengine utadhani wanakichaa cha mbwa lazima wakurarue.
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,118 Reaction score 165,390 Mar 21, 2016 #88 CHAULA RICH said: Wewe si ni mpole,kuna wanawake wengine utadhani wanakichaa cha mbwa lazima wakurarue. Click to expand... Hata akinirarua ndo nshahamishia goma kwangu
CHAULA RICH said: Wewe si ni mpole,kuna wanawake wengine utadhani wanakichaa cha mbwa lazima wakurarue. Click to expand... Hata akinirarua ndo nshahamishia goma kwangu
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,118 Reaction score 165,390 Mar 21, 2016 #90 Kichaafulani said: Nipo hapa ilumbu lyane sina hata uhusiano Click to expand... Nahene ng'wana mayu, ngojaga tulole
Kichaafulani said: Nipo hapa ilumbu lyane sina hata uhusiano Click to expand... Nahene ng'wana mayu, ngojaga tulole
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,371 Reaction score 14,481 Mar 21, 2016 #91 Evelyn Salt said: Hata akinirarua ndo nshahamishia goma kwangu Click to expand... mmmmhhh!!!,yaani unakubali kuraruliwa kisa rungu??,sasa km una mume kuna haja gani ya kutolewa meno ya sebuleni,kisa mume wa mtu??.
Evelyn Salt said: Hata akinirarua ndo nshahamishia goma kwangu Click to expand... mmmmhhh!!!,yaani unakubali kuraruliwa kisa rungu??,sasa km una mume kuna haja gani ya kutolewa meno ya sebuleni,kisa mume wa mtu??.
IROKOS JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 10,182 Reaction score 7,844 Mar 21, 2016 #92 Pierreeppah said: Mmh mzunguko wote wa nin Click to expand... Hahaaaa mkuu uko very right...siku hizi mbona wanakuvaa straight ....kuna tangazo moja huwa nalisikia jamaa anaambiwa na mdada ''Fuhara bwanaa si useme tuu...''
Pierreeppah said: Mmh mzunguko wote wa nin Click to expand... Hahaaaa mkuu uko very right...siku hizi mbona wanakuvaa straight ....kuna tangazo moja huwa nalisikia jamaa anaambiwa na mdada ''Fuhara bwanaa si useme tuu...''
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 13,996 Reaction score 15,118 Mar 21, 2016 #93 Pierreeppah said: Mmh mzunguko wote wa nin Click to expand... Looh !! kwani kuna njia ya mkato?
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,118 Reaction score 165,390 Mar 21, 2016 #94 CHAULA RICH said: mmmmhhh!!!,yaani unakubali kuraruliwa kisa rungu??,sasa km una mume kuna haja gani ya kutolewa meno ya sebuleni,kisa mume wa mtu??. Click to expand... Nipo tayari kutolewa meno yote nibaki kibogoyo kisa "mti"
CHAULA RICH said: mmmmhhh!!!,yaani unakubali kuraruliwa kisa rungu??,sasa km una mume kuna haja gani ya kutolewa meno ya sebuleni,kisa mume wa mtu??. Click to expand... Nipo tayari kutolewa meno yote nibaki kibogoyo kisa "mti"
Patience123 JF-Expert Member Joined Mar 10, 2013 Posts 5,092 Reaction score 8,786 Mar 21, 2016 #95 Super human said: unaanika namba ya nn? si ulisema hutaki kugawa namba? Click to expand... Super human said: unaanika namba ya nn? si ulisema hutaki kugawa namba? Click to expand... Huyu yuko sokoni,tangu majuzi anakazana kuleta thread za kukaba attention za watu,ana make cheap popularity,anachachawa kama vile ametiwa ndimu.
Super human said: unaanika namba ya nn? si ulisema hutaki kugawa namba? Click to expand... Super human said: unaanika namba ya nn? si ulisema hutaki kugawa namba? Click to expand... Huyu yuko sokoni,tangu majuzi anakazana kuleta thread za kukaba attention za watu,ana make cheap popularity,anachachawa kama vile ametiwa ndimu.
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,371 Reaction score 14,481 Mar 21, 2016 #96 Evelyn Salt said: Nipo tayari kutolewa meno yote nibaki kibogoyo kisa "mti" Click to expand... Kweli mti ni mtamu.
Evelyn Salt said: Nipo tayari kutolewa meno yote nibaki kibogoyo kisa "mti" Click to expand... Kweli mti ni mtamu.
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Mar 21, 2016 #97 data said: hahahaha Click to expand... Shikamoo
Freyzem JF-Expert Member Joined Jun 29, 2013 Posts 10,180 Reaction score 24,801 Mar 21, 2016 #98 Jinsi ya kumtongoza Mwanamke 1.Mpe hela 2.Mpe helaa 3.Mpe helaaa 4.Mpe helaaaa 5. Mpe helaaaaaaaaaaa!!! Ukitmiza hayo 100% ni wako, hachomokiii....
Jinsi ya kumtongoza Mwanamke 1.Mpe hela 2.Mpe helaa 3.Mpe helaaa 4.Mpe helaaaa 5. Mpe helaaaaaaaaaaa!!! Ukitmiza hayo 100% ni wako, hachomokiii....
Pascal Ndege JF-Expert Member Joined Nov 24, 2012 Posts 2,977 Reaction score 1,900 Mar 21, 2016 #99 Mimi najileta mwenyewe tu anza na HI! inbox, Mimi nitaongea yote
Warren T JF-Expert Member Joined Dec 5, 2014 Posts 664 Reaction score 409 Mar 21, 2016 #100 Valentina said: Koh Click to expand... Ushindwe mwenyewe kunitongoza sasa!