Hivi kuna mwanaume ambae hana mtu kipindi hiki labda tuende shule za primary huko, Kumpata ambae hana ni nadra sana ila kuna wanaume wengine wapo na wanawake lakin hawana mpango wakuwaoa kwasabab moja au nyengine, nadhani tusiogope mtu ambae ana mtu labda awe ameoa ndo tuogope, ilia hawa single ni kutake risk Jiripue kama kishakuwa karibu na wewe na ukafanya kama alivyoagiza mtoa mada, sasa yeye ndo atakuwa na choice akupige na chini sabab ya mchumba wake, au ampige na chini mchumba wake kwa ajili yako au awachezee nyote wawili kitu ambacho iko siku utagundua na maamuzi yatakuwa juu yako sasa kusuka au kunyoa. au kuendelea kusaka, ila inataka moyoa sana mpaka kufikia kusaka wanaume ina maana hakuna wanaokusaka ukajichagulia ukatulia, kama hakuna wanao kufata basi una kasoro na hata hao unaowafata hawatakupenda, wanawake wa hivi wengi wanapenda kuchagua mwisho wa siku ndo huishia kusaka wao .