Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Mi Jana nilala nikapa ganzi hata kutingisha kidole siez ila nimefumbua macho naona kabisa na kusikia
Nikaanza ona pumzi inakata nikajikurupua nikasema nisije nikafa Burr
Nilivyorud lala niliota mavitu ya kutisha
 
Si Hadithi ni kweli. Wewe unatoka ukiwa kama Roho na mashetani nayo ni roho so kufanya replacement ni rahisi, na hataka kama wakishindwa wanaweza kuattack Roho ukaruhusu nao wakaingia ndani ya mwili ukawa mwili mmoja madereva 8

Sent using Jamii Forums mobile app
Thats why kuna aura sealing mkuu, lengo langu ni mtu kwanza aachieve kutoka nifundishe aura sealing,

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
napataga ndoto hizo.tangu nikiwa mtoto kwamba nikiwa nafukuzwa na sina mbio zaidi basi natafuta mahali ambapo hawapiti watu alafu nikiwa hapo nahamisha mawazo na kufanya ratiba zangu sehemu ya mbali kama kutembea kula kucheza bila kukata mawazo hayo hvyo eneo nililopo nakuwa nimepotea/invisible lakini nikisema tu niangalie wanaonitafuta basi mwili unaonekana na hutokeaga wanaambizana huyu hapa then nakamatwa ila nikihamisha mawazo tena na mwili unapotea tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi wewe kwako kufanya miujiza ikaonekana in physical world ni rahisi kwako,

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi hunitokea nikiwa nimelala kifudi fudii na sio chali maana silalagi chali,mi nilijua wachawi jamani
Naskitika kukujuza kuwa hiyo ipo kishirikina kwa maana safe body paralyses huwa inapiga upande mmoja wa mwili uliobaki juu na kuacha huru upande mwingine ikiwa umelala tofauti na chali ukawa aware hivyo hii ni mbinu hutumia wanga kurape watu hali ya kuwa wapo unconscious na kama ikikutokea mara kwa mara utajiletea one side stroke ambayo itakufanya ukose choo more than 3 days then boom!!! Ur sick cause kila kitu inayokea usingizini kabla ya physical world

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi Jana nilala nikapa ganzi hata kutingisha kidole siez ila nimefumbua macho naona kabisa na kusikia
Nikaanza ona pumzi inakata nikajikurupua nikasema nisije nikafa Burr
Nilivyorud lala niliota mavitu ya kutisha
U dream what you want to, jaribu hili utaprove, wakati unaingia kulala weka akilini upo bustanini umelala ghafla akatokea ndege anasura ya mtu halafu wakati unawaza hiyo lazimisha moyo na akili kufeel it utaota hivyo hivyo na ukiamka utakumbuka na story itaendelea kujitunga humo until u sgop it,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KIUFUPI HAPO UNAICHEZEA ROHO YAKO, KWAMBA LOLOTE LITAKALOTOKEA SAWA.

MUNGU ANIEPUSHE NA HUO MCHEZO, TUWAACHIE WACHAWI.
 
Naskitika kukujuza kuwa hiyo ipo kishirikina kwa maana safe body paralyses huwa inapiga upande mmoja wa mwili uliobaki juu na kuacha huru upande mwingine ikiwa umelala tofauti na chali ukawa aware hivyo hii ni mbinu hutumia wanga kurape watu hali ya kuwa wapo unconscious na kama ikikutokea mara kwa mara utajiletea one side stroke ambayo itakufanya ukose choo more than 3 days then boom!!! Ur sick cause kila kitu inayokea usingizini kabla ya physical world

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
Na pia siku ingine nikilala chali
Kwa hiyo ikiwa kifudifudi ni wanga wanajibeba?
 
Mkuu Rakims na MziziMkavu, naombeni sana wakati mnatoa hili somo, pia muwape angalizo hao wanafunzi wenu, kuwa mchezo huu pia ni sawa na kuijaribu sumu kwa kuilamba!. Wapeni kabisa masharti ya kuzingatia, wakikosea ndio safari jumla!, asubuhi unakutwa ulitangulia ukiwa usingizini!.

Masharti ni haya.
  1. Fanya hivyo ukiwa umelala peke yako chumbani, na kabla hujaanza ujinga huo, hakikisha umefunga mlango kwa funguo, kwa sababu akitokea mtu akakuamsha kwa kukutingisha kwa nguvu na kuchange ile position yako hata ya milimita moja, ile cord ni kama utando wa buibui, inakatika, wewe unakuwa ndio basi tena!.
  2. Unaweza kukutana na "the under world" ukaona maisha hayo ya astra plane ndio bora zaidi kuliko real world, hivyo cord ikakatika, huku unakutwa ndio basi tena!, wewe ni safari jumla!.
  3. Hizi ni highest stages za meditation ambazo haziruhusiwi kufanywa na beginners, na hazifanywi un supervised vinginevyo ni safari jumla!.
  4. Yote utakayoyashuhudia kwenye astra body, unaweza kuyafanya by simply opening up the "third eye!"
  5. Hizi ndizo the first stages za wachawi!.
Wito wangu mimi wa wafuatiliaji wa haya makitu, kama hujui unataka nini, au utoke out of body ili kuachieve nini, please don't do it!. Mtu asikudanganye kuwa its very fun to go out of body, is not fun!. Too much knowledge on anything is harmful, please don't try unless you are sure what you are trying to do!.

Paskali
Asante sana mkuu kwa tahadhari, unajua aina hii ya SPIRITUAL SKILL imekuwepo duniani kwa karne nyingi sana hasa sehemu za Asia ,Isipokuwa taaluma hii imekuwa ikitolewa kwa stages na kwa taadhari kubwa na hatua ya OBE yaani out of body expirience inayohusisha ASTRA TRAVEL huwa ni hatua ya juu sana ktk course ya TRANSCENDENTAL MEDITATION na MASTERS huwaingiza wanafunzi wao ktk hatua hii baada ya kuhakikisha wamefuzu hatua kadhaa za majaribio ya awali kwa muda mrefu na hatua ya OBE huwa ni kama PASS OUT tofauti kabisa na hiki kinachoendelea humu. Uwezekano wa SILVER CORD kukatika tokana na interaction of any sort between PSYCHOSOMATIC spheres ni mkubwa na huo ukawa ndio mwisho wa mtu kuwako huku mtaani.
 
Asante sana mkuu kwa tahadhari, unajua aina hii ya SPIRITUAL SKILL imekuwepo duniani kwa karne nyingi sana hasa sehemu za Asia ,Isipokuwa taaluma hii imekuwa ikitolewa kwa stages na kwa taadhari kubwa na hatua ya OBE yaani out of body expirience inayohusisha ASTRA TRAVEL huwa ni hatua ya juu sana ktk course ya TRANSCENDENTAL MEDITATION na MASTERS huwaingiza wanafunzi wao ktk hatua hii baada ya kuhakikisha wamefuzu hatua kadhaa za majaribio ya awali kwa muda mrefu na hatua ya OBE huwa ni kama PASS OUT tofauti kabisa na hiki kinachoendelea humu. Uwezekano wa SILVER CORD kukatika tokana na interaction of any sort between PSYCHOSOMATIC spheres ni mkubwa na huo ukawa ndio mwisho wa mtu kuwako huku mtaani.

Silver Cord haiwezi kukatika kamwe hamna kitu kama hicho
 
One of the first things people ask is, can you die from astral projection? People who practice astral projection claim that a “silver cord” connects the astral body to the physical one, which has given rise to the idea that the physical body will die if this silver cord is severed. First of all, astral travel practitioners generally agree that it is not possible to sever the silver cord. Generally speaking, nothing you can do while astral will harm your physical body, and because the astral body is immaterial, it can’t be physically harmed. That said, your body can still experience physical harm while you’re astral, so it’s always important to choose a safe, private space like your bedroom for your astral projection experiments. If you wouldn’t feel comfortable going to sleep in a park at night, don’t use it as a space for astral projection As long as you are sleeping in a safe space, though, the known astral projection dangers do not include death.
Another danger of astral projection is that people have reported having difficulty breathing at the onset of astral projection, especially as they’re starting to float upwards or just after they’ve left their bodies. This might be a side effect of sleep paralysis , as your brain tries to process the sensations of leaving your body. Breathing through your nose can speed up the process of separation, and so can maintaining a calm intention to complete your astral projection. Especially the first time you manage it, such astral projection side effects can be alarming. Fear can interfere with your breathing and make it that much harder to separate from your body. It’s a lot easier to fall back into your body from a projected state than to leave it; if your body is in any physical distress or danger, most likely you’ll reenter it immediately.
However, what if something has gotten there before you? The fear of possession is one of the perceived dangers of astral projection that is most likely to make people leery to try it. If you astral project, you’ll probably emerge on one of the lower planes: many practitioners claim this plane is home to what have been variously called demons or malevolent spirits, which can take over your body when you’re away. While I’ve never heard or read about an instance of actual possession, it’s probably prudent to take steps to protect yourself against any hostile-seeming entities you may encounter in the astral state. Some precautions include imagining a white or golden light around your astral body, calling on protective spirits, angels or guides to help you,or even saying a prayer to banish hostile entities. You can usually tell if a presence or spirit is malevolent by its aura, which may be dark, muddled, or simply give you a ‘bad vibe’. It’s up to you to interact with these entities or not; according to astral projection lore, they can’t harm or possess you unless you invite them to do so.
For astral projection newbies, another of the dangers of astral travel that can be of concern is not being able to return to your body after an astral journey. All the accounts I’ve read agree that it is not possible to become permanently lost from your body. While astral, it usually takes no more effort than thinking about your physical body for you to rush back into it. This is because you are highly suggestive to mental suggestion while in an astral state: if you want to travel somewhere, it usually takes no more effort than imagining where you want to go. If you think about your physical body, you’ll find yourself back in it. Keeping separate from your physical body is what takes mental focus and concentration. So, I wouldn’t include ‘losing’ your body among potential astral traveling dangers.
Like the phenomenon of astral projection itself, I’m not going to debate whether astral projection involves actual travel to a different plane or if, instead, it is a type of lucid dream. The reality is that some people have had frightening experiences during astral projection and have explained them as encounters with malevolent entities or troubles associated with leaving or getting back to their physical bodies. Whether astral projection is a mental or a metaphysical journey, making your mind a calm and safe place is a good way to mitigate or avoid a scary astral projection experience. Remember that you have the ability to shape your astral journey and surround yourself with protective and nurturing energy, and you will be able to have an experience that is enriching rather than frightening.


Source Dreamherbs.com
 
Back
Top Bottom