Jinsi ya kutibu Dengue

Jinsi ya kutibu Dengue

Nyamgluu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
3,160
Reaction score
1,727
Watu wa Indonesia, Malaysia na maeneo yao wamekua na dengue kwa miaka mingi. Hivi ni jinsi wanavyotibu please mweleze na mwenzio. Huu ni utengenezaji wa dawa kwa kutumia majani ya mpapai.

Angalia uandaaji wake kwenye hii video

 
Last edited by a moderator:
Homa ya dengue iko Malasia, Thailand, Filipino miaka mingi. Wao watibu na kuzuia isiwapate kwa kutumia Papai wanatafuna na mbegu zake. Au majani ya papai ma-5, twanga, au ponda, kama blenda inaweza upate rojo la kijani, kamua weka asali, tumia 3 vya chakula kwa siku. Utajiwekea kinga hutaugua homa hii. Mjulishe na mwingine. Angalia kwny internet google, andika Dengue fever malysia. Utaona wanavyo tumia product za papai wanajikinga na kupona. Tahadhari ni hatari ikikushika haina tiba. Heri kinga.
 
...dah,naona dalili za watu kukamata fursa na kutambaa,asante mkuu,ngoja tusubiri na updates za botswana wanafanyaje...
 
Ubarikiwe kiongozi kwa taarifa hizi


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Hii nchi ya wapiga deal, hiyo hawawezi kuikubali kama haina quotation ambayo itafanya wapate 10%!
 
yeah hii ni kweli na wanaigeria wanapenda sana dawa za mapapai na mbegu zake wanajua zinatibu sana, na zina tibu sana kansa
 
Sasa hawa wanasayansi wanaosema hauna tiba ina maana hii ya mpapai hawaijui? Haijafanyiwa utafiti? Isije ikawa ni mambo ya "samunge" tena!
 
Back
Top Bottom