seleke boy
Member
- May 11, 2014
- 11
- 1
thanx man!
pamoja sana mstahiki meya nitatest. anglieni tusimalize miti ya mipapai tutaleta hasara nyingine ya uharibifu wa mazingiraHoma ya dengue iko Malasia, Thailand, Filipino miaka mingi. Wao watibu na kuzuia isiwapate kwa kutumia Papai wanatafuna na mbegu zake. Au majani ya papai ma-5, twanga, au ponda, kama blenda inaweza upate rojo la kijani, kamua weka asali, tumia 3 vya chakula kwa siku. Utajiwekea kinga hutaugua homa hii. Mjulishe na mwingine. Angalia kwny internet google, andika Dengue fever malysia. Utaona wanavyo tumia product za papai wanajikinga na kupona. Tahadhari ni hatari ikikushika haina tiba. Heri kinga.